letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mwamba - blessed paul

Loading...

mbegu zilizotupwa zimemea
waliziona, uchafu kwa sinia aah
walidhanani hazifai kwa chakula
wakazitupa aah, kwa takataka!

jiwe walilolikataa aah
limetuwaa
mwamba imara
niko ndani yake

niko ndani ya mwamba
mwamba w-ngu ni yesu
sitingishiki milele
ameniweka imara
walinitupa kwa moto wakadhani mimi kwisha
hawakujua ninaye mungu moto ulao
na walinitupaaa kwenye maji mengi
nikatembea juu yake kama vile petro

nimefunikwa na mbawa zake yesu.. nakunilinda, kama mboni la jicho yake

niko ndani ya mwamba
mwamba w-ngu ni yesu
sitingishiki milele
ameniweka imara

nimefunikwa na mbawa zake yesu.. nakunilinda, kama mboni la jicho yake
nimefunikwa na mbawa zake yesu.. nakunilinda, kama mboni la jicho yake

niko ndani ya mwamba
mwamba w-ngu ni yesu
sitingishiki milele
ameniweka imara

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...