letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sare sare - bismark musiq

Loading...

intro
whoop!
yayaya….
eeeyah..

chorus
[zile dhambi za zamani bado zinaniandama
zataka nirudisha nyuma ila kwako nimekwama
tuko sare sare
tuko sare sare oyeeah
tuko sare sare
zibaki palepale] x2

verse 1
zile tabia za zamani zajaribu kujidhihirisha
na yule mtu wa zamani anataka kusababisha
ila nimeshamcheki, mi naye sio rafiki, no more
aliniletea dhiki,  ndani akaweka chuki oyeyeyeah
nishaliona lake lengo
anashinda akinipima ubongo ye
kurudi kwake tena ajue ng’o
sitafungua huo mlango
(nishathathmini kwa nini nikuwe makini utanibeba hadi lini)x2

chorus
[zile dhambi za zamani bado zinaniandama
zataka nirudisha nyuma ila kwako nimekwama
tuko sare sare
tuko sare sare oyeeah
tuko sare sare
zibaki palepale] x2

verse 2
ukiwaona uwaambie nishahama pale, nishahama
niko kwa yesu niko salama naye, niko salama
oooh nimezama (zama uuuuh), hadi siwezi toka
hadi siwezi
oooh n-z-toka (toka uuuuh) kila siku ya calendar
kila siku ya calendar
nimeokoka nafanya vitu vile ye hudo
niko kwenye list ya mbinguni
kwa shetani nilitoka sifanyi zile vitu ye hudo
niko kwenye mbio na kungoja utangoja
endelea tu kukazana
na kungoja utakaa sana
ukicheza sina ungwana
ukicross line yangu tunamenyana

chorus
[zile dhambi za zamani bado zinaniandama
zataka nirudisha nyuma ila kwako nimekwama
tuko sare sare
tuko sare sare oyeeah
tuko sare sare
zibaki palepale] x2

outro
oooh nimezama (zama uuuuh) hadi siwezi toka hadi siwezi
oooh n-z-toka (toka uuuuh) kila siku ya calendar, kila siku ya calendar…. nanaaa
cheza mbali
cheza mbali

[end]

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...