letra de heri na yesu - bismark musiq
intro
verse 1
washaniponza ya dunia mengi nimeyaona
watakuponda wakiingia ndani na kuyaona
watakupenda ukiwa navyo wanapona
na ukidunda kama upepo wanakula kona
we, ila we wapenda bila masharti
tena bwana niwe, unayepeana ni we
unanyeshea watakatifu na waovu
nakuomba usiniache solo, niongoze nitafollow
nimeshika neno i’ll never let go, mikononi mwako we
nakuomba usiniache solo, niongoze nitafollow
baraka zako hazina solo, mikononi mwako we
chorus
heri na yesu, heri na yesu
pendo lako kamili si nusu
(adui atanimaliza, heri mikononi mwako)
heri na yesu, heri na yesu
pendo lako kamili si nusu
(hayawani wa dunia yao kwota kwota ee )
heri na yesu, heri na yesu
pеndo lako kamili si nusu
(sitaki ya dunia heri nawe bwana)
heri na yеsu, heri na yesu
pendo lako kamili si nusu
(heri ee heri ee aaaaah )
(interlude)
verse 2
ninyime vyote nipe yesu, nimechoka na dunia
maana tamaa ya moyo w-ngu, ni wewe
naomba unilinde, adui asinifanye windo
nifiche chini ya mbawa zako nikae
nakuomba usiniache solo, niongoze nitafollow
nimeshika neno i’ll never let go, mikononi mwako we
nakuomba usiniache solo, niongoze nitafollow
baraka zako hazina solo, mikononi mwako we
chorus
heri na yesu, heri na yesu
pendo lako kamili si nusu
(hayawani wa dunia yao nusu nusu eeh)
heri na yesu, heri na yesu
pendo lako kamili si nusu
(bwana unayenipenda heri nawe bwana )
heri na yesu, heri na yesu
pendo lako kamili si nusu
(hayawani wa dunia yao kwota kwota eeh)
heri na yesu, heri na yesu
pendo lako kamili si nusu
(heri ee heri ee aaaaah )
outro
nanana, heri nawe, heri nawe bwana bwana aah
heri nawe, heri nawe, heri nawe nawe eeee eeeh ha!
letras aleatórias
- letra de august gein - wesley willis
- letra de 一半是我 (half of me) - chen linong
- letra de race - sxnnii
- letra de the hills - jailbird sage
- letra de so warm - jackie deshannon
- letra de friday nights - innaryy
- letra de ruki is like - 8ruki
- letra de lithium [live at the paramount] - nirvana
- letra de 昼鳶 (burglar) - ヨルシカ yorushika
- letra de outta line - chyme