letra de bugana - billnass
aha, chupa ilionekana chai au sio
chupa ilionekana chai
(its s2kizzy beiby)
billnas, billnas
unanipa taabu ya kufanya nielewe
baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
unanipa taabu ya kufanya nielewe
baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
unyonge tai
alafu mf-koni mambo mbaya
hawatudai yeah yeah yeah
hata wavujishe picha mbaya
wakuite babu
nami waniite bibi watujukuu
ooh yeah, washike adabu
washindwe na walegee eeh
unanisitiri
yaani hutaki niumbuke(aaaah)
wawili tu chumbani
ardhi ipasuke(aaaah)
ukiweza nichune kaka
pahali ambapo mi nina bugana
ukiweza nichune kaka
pahali ambapo mi nina bugana
unanipa taabu ya kufanya niеlewe
baada ya baba mzazi, si unafuata wewе
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
unanipa taabu ya kufanya nielewe
baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
tupo low key na tuna kiss kwenye dinga
vile tuna ball sema ‘ooh tunavimba’
kuku approach ilikuwa hard ka nawinda
hadi nikawa naimba zile ahadi ukawa unavimba
leo bugana limerudi kwao
tuko na shida zetu wala sio za kwao
husband material ikikubao
imeshafika posa bado tu vikao
na hata iweje, hata iweje
mimi ni wako tu
na hata iweje, hata iweje
nitabaki kwako tu
kama ni gucci, dolce & gabana(aaaah)
hata mi, naweza kupambana(aaaah)
kama ni pesa wanasaka ile sana(aaaah)
sana mama, sana sana
unanipa taabu ya kufanya nielewe
baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
unanipa taabu ya kufanya nielewe
baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
(laizer on the mix)
nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
letras aleatórias
- letra de the reasons why (feat. prince husein) - eka gustiwana
- letra de i do - cardi b
- letra de this is war - fifth angel
- letra de can you hear me? - fleurie
- letra de uncertain weather - youn sun nah
- letra de (un)chosen one - lia ices
- letra de tourniquet - meg myers
- letra de miss you more - ane brun
- letra de victory royale - lil hentai
- letra de morning light forgives the night - rebekka karijord