letra de inauma - bien-aimé baraza
[verse 1]
kukosana na wewe, sikutarajia
kuwa mbali na wewe, aki umeniacha pabaya
kutengana na wewe, imenibadilisha sana
nimetamani nilewe, aki nakunywa nasazamana
[pre-chorus]
naambia nini watu regina?
haya mapenzi yalinoga
[verse 2]
nak-mbuka tulipeana majina
leo baby, kesho tomato
mitandao ikaleta vitina
ukawa huambiliki
nami kichwa changu na kikavimba
nikawasisemezeki
[chorus]
inauma inauma lakini n’tazoea
inauma inauma lakini n’tazoea
hali ya mwanaume duniani nikuzoea
hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa
[instrumental break]
[verse 3]
densi oh densi, densi tulikamata hadi usiku wa manane, ayy
kesi oh kesi, kesi tukakubali tutapendana milele
nyimbo nyimbo, nyimbo tulizopenda zanik-mbushanga wewe
kamisi oh kamisi, kamisi na baika uliwacha n-n-sanga ndio nilale
oh yoyo
[pre-chorus]
nitaambia nini watu regina
haya mapenzi yalinoga
[verse 4]
nak-mbuka tukilabata na bia
party aftеr party
shetani gani alituingilia?
akatuweka asander
ilovito pahali imеnifikisha
i’ll never love another
[chorus]
like, inauma inauma lakini n’tazoea
inauma inauma lakini n’tazoea
hali ya binadamu duniani nikuzoea
hali ya mwanaume duniani nikuzoea, ndio nashindwa
inauma inauma lakini n’tazoea
inauma inauma lakini n’tazoea
hali ya binadamu duniani nikuzoea
hali ya mwanaume duniani nikuzoea, ndio nashindwa
[instrumental outro]
letras aleatórias
- letra de med små bokstaver - ramón (no)
- letra de shootin' for the stars - dc (mynameisdc)
- letra de an der uhr gedreht - apache 207
- letra de gröna lund - ellinoora
- letra de home ain't a home - jess & matt
- letra de hands out - mainez
- letra de ай стил лав ю (i still love you) - rsac
- letra de apology - self (6)
- letra de hai tu kaun - emiway bantai
- letra de monica engineer - the flying pickets