letra de peddi - bensoul
[intro]
love, love, love, love, love, love
gonna make me go crazy
suda!
yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
[verse 1]
nakuona kwenye lockdown, yeah
ningependa kuwa around you baby
tungekuwa tukiwasha (washa)
ningekuwa nikimush up
kwenye picha weka hashtag
there’s nothing better kama good love and laughter, yeah
sema kile unatafta
and i will give you more and more
[pre-chorus 1]
yeah, ka si bahati basi
niambie ni wapi
utapatana na manzi
hayuko kila pahali, yeah
hana chali
hapendangi makali
hapendangi maganji
atakupenda kila hali, yeah
haka kamali si kalocal ni kashashamane
hako kafigure ni kakali ni kanamba nane
takuwa noma mi na wewe tukijabulani
jabulani
[chorus]
kama unatafuta peddi, oh yeah
peddi wa mapenzi, ooh
hii yangu ni heavy
i hope uko ready
nikuwe your peddi
si nikuwe your peddi
apenji, apenji
si nikuwe your peddi
apenji, apenji
si nikuwe your peddi
apenji, apenji
si nikuwe your peddi
apenji, apenji
si nikuwe your peddi
[verse 2]
mimi na wewe ni pare (mimi na wewe ni pare)
toka 7 hadi ngware (toka 7 hadi ngware)
karibia nigware
na usiseme ni sare
we ni jay mi ni nare (we ni jay mi ni nare)
oh no, you’re the one i wanna marry (you’re the one i wanna marry)
tusiende in a hurry
and will give you more and more
[pre-chorus 2]
juu underwater
nimekuwa nikikuota
nataka kuwa locked na somebody’s daughter
tukifika nyumbani hatutawahi toka
naishi kileleni kama niko kwenye chopper
haka kamali si kalocal ni kashashamane
hako kafigure ni kakali ni kanamba nane
na nigependa tu kuona tukijabulani
jabulani
[chorus]
kama unatafuta peddi, oh yeah
peddi wa mapenzi, ooh
hii yangu ni heavy
i hope uko ready
nikuwe your peddi
si nikuwe your peddi
apenji, apenji
si nikuwe your peddi
apenji, apenji
si nikuwe your peddi
apenji, apenji
si nikuwe your peddi
apenji, apenji
si nikuwe your peddi
[outro]
aiyayayayayayayayaya, aiyaya, aiyayayayayayayayaya
no, no, no, no, no, no
love, love, love, love, love, love, love
si ni kuwe your peddi
wewe, wewe, ah! we, we, wewe, ah! wewe, wewe, wewe
suda!
letras aleatórias
- letra de beanies in the summer (ft. james dalton) - exem
- letra de i'm the sovereign (我是大主宰) - z.tao
- letra de bait rek - בית ריק - talisman - טליסמאן
- letra de face - willtharapper
- letra de no/body - 3pl6
- letra de haaksirikko - yö
- letra de the alley - sayla
- letra de woman, lover, friend - kool & the gang
- letra de totheshow - leekyxiv
- letra de could've happened to me - dr. dog