letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sikukuu - ben pol

Loading...

sikuukuu imefika eeeh, mwaka mpya unafika eeeh
upite salama babaa eeeh
sote sote tuwe salamaa babaa, oooh mwana mamaa

krismasi imefikaa eeeh, mwaka mpya umefika eeeh
ufike salamaa eeeh, upite salamaa babaa
umalizike salama babaaa, oooh mwana mamaaa

tuombee mungu akina babaa na akina mamaa eeeh (eeeeh)
tuombee mungu akina kakaa na akina dadaa eeeh (eeeeh)
hata wapenzi wa nyimbo zetu, babaa
wapenzi wa burudani eeeh mwana mmaa
tuwe salama salimini eeeh
tuwe salama eeeh, salama mwana mamaa

kuna w-ngine sasa wako hospitali
kuna w-ngine tena wameshakufa
kuna wengine wako kifungoni

waliobaki oooh baba yooh
waliobaki, saidia masikini babaa oooh
saidia masikini babaa eeeh
eeeh mwana mamaa

kuna w-ngine sasa wako hospitali
kuna w-ngine tena wameshakufa
kuna w-ngine tena wako kifungoni

waliobaki oooh baba eeeh
waliobakiii, saidia masikini babaa oooh
saidia masikini babaa eeeh
oooh mwana mamaa

na wewe ulie mzima, shukuru mungu
k-maliza mwaka sikuhizi ni jasho, babaa
kifo cha sasa, kama maji
yatokapo, yaendapo hayajulikani oooh
mwana mamaa oooh
tuombe mungu daima, mamaa

miaka yaenda mbio mwana mamaa
siku zaenda mbio twende wapi?

miaka yaenda mbio mamaa
siku zaenda mbio mwana mamaa

miaka yaenda mbio mamaa
siku zaenda mbio mwana mamaa

usile k-maliza mwana mamaa
kwani kesho kutwa, sikukuu (sikukuu)

miaka yaenda mbio mamaa
siku zaenda mbio mwana mamaa

miaka yaenda mbio mamaa
siku zaenda mbio mwana mamaa

usile ya k-maliza mwana babaa
weka kidogo ya sikukuu (ya sikukuu)

miaka yaenda mbio mamaa
siku zaenda mbio mwana mamaa

miaka yaenda mbio mamaa
siku zaenda mbio mwana mamaa

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...