letra de mbali sana - beda andrew
nalikuwa sijiwezi
unyonge ulinielemea
sikuwa na tumaini
la mbele kuendelea
imani ilififia, sikuona kabisa
kama moja ya nyenzo ilyotikisika
nalikosa tabasamu usoni
tegemeo sikuona maishani
nikashindwa endelea mbele
hali iliyofanya nikwame kule
ulikonitoa ni mbali sana
ni kweli umenikomboa nashukuru sana
ulikonitoa mbali sana
ukanikomboa na zile laana
mbali sana
mbali sana
mbali sana
nashukuru bwana
uliona haiko shwari mimi kupotea njia
sijui ni namna gani uliwaza ukanihurumia
na nilifanania jangwa mvua kutonyeshea
nami mche mbichi maji yalinikaukia
shida mateso sina tena yamewekwa nyuma
mimi wa yesu mwingine sina wa kunirudisha nyuma
wakati wa kuokolewa umekubalika
kwa haki na ushupavu wake ukatimizika
ulikonitoa ni mbali sana
ni kweli umenikomboa nashukuru bwana
ulikonitoa ni mbali sana
ukanikomboa na zile laana
mbali sana
mbali sana
mbali sana
kwenye mateso kule
mbali sana
nalionelewa
ukanisaidia
mbali sana
eeeh mbali eeeh
mbali sana
ulikonitoa bwana wewe
nashukuru wewe
nashukuru bwana
naah… naah…
mbali sana
mbali sana
mbali sana
letras aleatórias
- letra de focus - joey xl
- letra de 27 - jp the wavy
- letra de late again - jack layne
- letra de god has another plan - babbie mason
- letra de alone in la - justjames_official
- letra de carry on - latenightjace
- letra de for the night only - zzachh
- letra de eppure sai - domenico bini
- letra de space oddity - camané
- letra de get the hell away - celkilt