letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tunafanana - barnaba

Loading...

mtoto akilia dede
mimi ndo baba yake nimbebe
mahabuba! mahabuba

woyowo woyowo
this is barnaba boy classic

mrembo nataka nikusimulie hadithi
ujue wapi nimetoka
na wapi ninakwenda

tofauti kati ya we na wale
wewe ni mkarimu sana aaah

cha kwanza bonge la toto (toto)
hauna maringo, haunaga isidingo
mishe za k-make bingo
umeridhika na mimi

salamu sigombi baby
wasalimia kwa furaha
mana nyumbani utarudi

nataka uwe wife material
tunafana yeee (uyee)
kama mapacha kama mapacha
true love davee
tunafananaje (darling)

tabia na mwenendo matendo
tunafanana yee (you mamacita like)
look at me and i’m look at you baby
tunafanana jee
nataka uwe wife material

hata vitabu vya dini vimeandika
mwanaume kuchakarika
we langu juk-mu nimejivika
kimwali

kwenye shida, ye ndo w-ngu swahiba
sweet love da eeeh (sweet love da eeeh)
ohh oh baby (ohh oh baby)

nikafanye utingo
niwe konda nikamate bingo
alimradi nikutunze kimwali

cha kwanza bonge la toto (toto)
hauna maringo, haunaga isidingo
mishe za k-make bingo
umeridhika na mimi (toto)

salamu sigombi baby
wasalimia kwa furaha
mana nyumbani utarudi

nataka uwe wife material
tunafana yeee (uyee)
kama mapacha kama mapacha
true love davee
tunafananaje (darling)

tabia na mwenendo matendo
tunafanana yee (my everything)
look at me and i’m look at you baby
tunafanana jee
(look at you my darling)

mtoto akilia dede (akilia dede)
mimi ndo baba yake nimbebe (nimbebe)
mahabuba! mahabuba
oyo! woyo! woyo!

mtoto akilia dede (mtoto akilia dede)
mimi ndo baba yake nimbebe (yake nimbebe)
mahabuba! mahabuba
oyo! woyo! woyo!

nataka uwe wife material
tunafana yeee (tunafanna baby)
kama mapacha kama mapacha
true love davee
tunafananaje (darling)

tabia na mwenendo matendo
tunafanana yee (my everything)
look at me and i’m look at you baby
tunafanana jee
you’re special in my life

nataka uwe wife material
look at you my darling
noo
this is barnaba boy classic (you are my everything)
i love you (you are my everything)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...