letra de washa - barnaba classic
yaga
don’t be selfish baby (aha yaga)
abbah!
niliye naye hana kasoro
ya nini nipashe viporo
uliniacha totoro
bila ya godoro
mpenzi kiberiti (washa)
siwezi k-msaliti (washa)
yeye sabuni mie jiki (washa)
mie jiki… (washa)
mie jiki…. (washa)
maji mwenzake koo oh
tucheze kidalipo oh
huko ulipo oh
salamu zikufikie
yameandikwa maandiko
usiibe mboga usilambe mwiko oh
kurudi kwako ni ndoto ah
usitake ajirudie
nile naye kwa siku mara tatu
kama mgonjwa wa homa
nikiumwa na pona
dozi nzuri yaani ile kuona
penzi ukalivika ngozi ya chatu
vya kupika ulichoma
penzi ukaliunguza
unataka kurudi hapana
maana
niliye naye hana kasoro
ya nini nipashe viporo
uliniacha totoro
bila ya godoro
mpenzi kiberiti (washa)
siwezi k-msaliti (washa)
yeye sabuni mie jiki (washa)
mie jiki… (washa)
mie jiki…. (washa)
mpenzi kiberiti (washa)
siwezi k-msaliti (washa)
yeye sabuni mie jiki (washa)
mie jiki… (washa)
mie jiki…. (washa)
nah nah nah… nah nah nah nah…
hmmmmmh…. nah nah nah…
ukiachwa achika
ukimwagwa mwagika
ukitemwa temeka
penzi mbovu ya nini kung’ang’ania
roho unaisononesha
moyo unaukondesha aah
wakati huj-pendeka
wako wengi wanaokutamani
kaaga kaenda kwa mama (mdogo)
waja k-mfuma gaba (majogoo)
ya nini kujisononesha
mtoto mdogo wajipaga pressure bure
nile naye kwa siku mara tatu
kama mgonjwa wa homa
nikiumwa na pona
dozi nzuri yaani ile kuona
penzi ukalivika ngozi ya chatu
vya kupika ulichoma
penzi ukaliunguza
unataka kurudi hapana
maana
niliye naye hana kasoro
ya nini nipashe viporo
uliniacha totoro
bila ya godoro
mpenzi kiberiti (washa)
siwezi k-msaliti (washa)
yeye sabuni mie jiki (washa)
mie jiki… (washa)
mie jiki….(washa)
mpenzi kiberiti (washa)
siwezi k-msaliti (washa)
yeye sabuni mie jiki (washa)
mie jiki… (washa)
mie jiki…. (washa)
letras aleatórias
- letra de adeus mariana - leonardo
- letra de aftermath - anomic bond
- letra de cowards will fall - death before dishonor
- letra de tell me - yung kayo
- letra de black?white - fxkuto
- letra de baby, i love you - my life as ali thomas
- letra de now nuh later - shawn storm
- letra de dumbledore's song - oliver boyd and the remembralls
- letra de soul is my neme - mikael erlandsson
- letra de 서울의 돈 (이쁜이들아) (seoul’s money) - changmo