letra de gubegube - barnaba classic
[intro]
ma-ma-ma-magubegube
<>
magumegume
(ma-ma-ma)
magubegube
(ma-ma-ma)
magubegube
(ma-ma-ma-, magume, gume…)
magumegume
magubegube
(mama-ma-ma)
usiombe ung’oe (gubegube)
wana mambo, ah (gubegube)
unaweza ukampiga mpaka ukaua
na ‘usiombe ukutane na, (magumegume)
wana mambo, ah (magumegume)
unaweza ukamsuta mpaka mkachoka nyie
ah, juzi juzi nilizungumza na jirani yangu
ah, nikamuuliza, “vipi kuhusu shemeji yangu?”
alicho nijibu kibaya, sikutegemea kabisa
“shemeji yako mmbaya kwanza usiku halali kabisa”
ah, juzi juzi tena nilizungumza na mama mwenye nyumba yangu
ah, nikamuuliza, “vipi kuhusu ile kodi yangu?”
alicho nijibu kibaya, sikutegemеa kabisa
kama nahitaji kuendelea, basi mwili w-ngu lazima nami nimpе
usiombe ung’oe (gubegube)
wana mambo, ah (gubegube)
unaweza ukampiga mpaka ukaua
na ‘usiombe ukutane na, (magumegume)
wana mambo, ah (magumegume)
unaweza ukamsuta mpaka mkachoka mjue
mapenzi yamekuwa uongo, yamekuwa uongo
yanachanganya sana ubongo, unaweza uka-paralyze
na wapenzi wamekuwa waongo, wamekuwa waongo
unazama leo kesho longolongo, swali na jibu kamwe haliko wazi
ah, juzi juzi nilizungumza na teacher w-ngu
ah, nikamuuliza, “vipi kuhusu majibu yangu?”
alicho nijibu kibaya, sikutegemea kabisa
kama nahitaji kupita, basi lazima kidogo dogo nami k-mpa
ma-ma-ma-ma
ma-ma-ma-ma
ma-ma, basi lazima kidogo dogo nami k-mpaga
usiombe ung’oe (gubegube)
wana mambo (magubegube)
unaweza ukampiga mpaka ukaua
na ‘usiombe ukutane na, (magumegume)
wana mambo, ah (magumegume)
unaweza ukamsuta mpaka mkachoka nyie
hivi ni shida au tamaa zinazo waleta
au shilingi inaleta balaa, ma-ma (magumegume)
ah, usiombe ung’oe (magubegube)
wana mambo (magumegume)
unaweza ukapigwa mpaka
mpaka [ukavimba]
na ‘hivi ni shida au tamaa, eh?
(magumegume)
au shilingi ina wakusanya na kuwajaza?
unaweza ukapiga mpaka, mpaka ukachoka wewe
hey, hey, hey
mpaka ukachoka wewe
usiombe ung’oe (magubegube)
wana mambo, ah (magubegube)
unaweza ukapiga mpaka ukaua, mama
na ‘usiombe ukutane na, (magumegume)
wana mambo, ah (magumegume)
unaweza ukamsuta mpaka mkachoka wewe
ma-ma-ma
magubegube
(ma-ma-ma)
magubegube
(ma-ma-ma-, magube, gube…)
magumegume
magubegube
letras aleatórias
- letra de łąka - s.e. sekator
- letra de mãe das águas - ilê aiyê
- letra de understand - jude 47
- letra de for a minute - john kite
- letra de 2free - rexx life raj
- letra de inbetween - jame x lowd
- letra de au bord du lac bijou - zachary richard
- letra de məhəbbətə hə, xəyanətə yox - aygün kazımova
- letra de hayda haki - najwa karam نجوى كرم
- letra de came home to a m - doe boy