letra de bado muda - barnaba classic
eeeh ayooo ahh nanana…
usilie machozi ungali bado unapumua
usikufuru mungu ungali hii sauti unasikia
wewe umepanga milioni yeye amepanga sufuri
wewe umepanga ghorofa
yeye amepanga kibanda
ulipanga ule nyama kesho kesho unakula dagaa
usikate tamaa bado una mudaa
shetani hakosi kushindwa
bado na muda
ayoooo oo
mwenzako kalala mochwari hajitambui
hajui nani anapita
nani anamwita nani anaingia
wewe unaona na unashuhudia
bado una muda
aaah eeh… bado una muda
mwaka unakatika ulipanga ujenge ghorofa
mwaka unakatika ulipanga ununue verosa
alhamdulilahi umeambulia baiskeli
wakati mwenzako kavuna kwenye mwaka ukilema
si unapumua angali mzima
bado una muda
shetani alimjaribu ayubu
kwa k-mpanga majaribu
alimpaka upele mwili mzima
mke wa ayubu akasema ayubu ananuka
ayubu alishinda mitihani
we je wewe, bado una muda
[chorus]
usilalame usitukane zidi kupambana
mungu anaona, muda wako waja atakugusa
ukikosa leo usikufuru mungu
the time has come
usilalame usitukane zidi kupambana
mungu anaona, muda wako waja atakugusa
ooooh ooooh oohh…
mama nitilie unasema mungu kakuonea
ewe beba segel unasema mungu kapendelea
wakati una mikono
kakubariki na macho na masikio
kuna mwingine hasikii kabisa
kuna mwingine hatembei kabisa
heri kutembea
kuna mwingine hashiki kabisa
wewe unapata nguvu kushika mikono
bado una muda
aaah bado una muda
sauti hii kama unasikia
sikia timamu
sikia timamu na ufahamu
kama unatambua ninachozungumza
bado una muda, aaah bado una muda
mungu ametenda mengi juu yangu(mmmh)
kuna muda niliachwa na baba na mama
hadi mpaka na wife (na wife)
yeye hakunitupa (aaah aaah)
alininyenyua, akanitembeza
akanishika mkono
akanionyesha mahali sahihi
natabasamu nina muda
mwingine anaoa leo kesho anaacha
mwingine anaolewa leo kesho anaachwa
wewe umedumu kwenye ndoa furahi bado una muda
usiache k-muomba yeye bado una muda
wewe umeolewa jana leo umepigwa
wewe umeoa jana leo umesalitiwa
usilalame bado una muda
in the name of jesus jesus bado una muda
in the name of the lord of the mass bado una muda
in the name of god messiah bado una muda
in the name of yudah wa yudah….
ananguruma you got time
usilalame usitukane zidi kupambana
mungu anaona, muda wako waja atakugusa
ukikosa leo usikufuru mungu
the time has come
usilalame usitukane zidi kupambana
mungu anaona, muda wako waja atakugusa
ooooh ooooh oohh…
naimba kwa sababu yake yeye
bado una muda….
letras aleatórias
- letra de baile das flores - preto rico
- letra de não sou ninguém sem ti - anselmo ralph
- letra de lagrimas de sangue - facínoras mc's
- letra de minha musica preferida - guerreiros de jorge
- letra de in a dream i saw satellites - snow patrol
- letra de dois mundos - hevo84
- letra de por você - jullie
- letra de the ballad of farquaad - shrek
- letra de ode ao gaúcho - três caras
- letra de invasão do céu - suelen de jesus