letra de siachani nawe - barakah the prince
[instrumental intro]
oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh
woah, woah, woah, oh
oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh, oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh
mmm, mm, mm-mm
[verse 1]
wakati na lainisha moyo kupenda, sio kama ninakosea
ipo sababu ya mimi kurejesha namba; ambayo ilipotea, ah
hali ya mtoto k-msusa mama, akishachapwa ni sawa na mapenzi
ukishapenda unasahau, hatakama ulishafanyiwaga ushenzi
nak-mbuka nilijuta sana kupenda, penda kusiko na thamani
ila hitaji la moyo lanilazimisha kurudi ya zamani
[pre-chorus]
(oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh), mimi bado nina imani, (oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh), ipo siku utanipa thamani (oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh), oh, oh
mimi bado nina imani, (oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh), oh, oh
[chorus]
juwa mi siachani nawe (nawe), na sishindani (nawe), maana upo moyoni (ndani, eh), acha nisote mie
ila mi siachani nawe (nawe), na sishindani (nawe), maana upo moyoni (ndani, eh), acha nisote mie
[bridge]
ooh, ooh, ooh, ooh woah
mm, mm
[verse 2]
labda juu ya kaburi utanipenda mimi, nikiwa sina uhai, hisia zangu haziheshimiwi, najidharau sifai
heri ya upofu wa macho, kwa yale nnayo yaona
umeruhusu mboni zangu mi, k-mwaga machozi, yaani
ungejuwa hisia za mapenzi, hutesa moyo ila bado hazichoshi
kupendwa sipendwi, najua wazi ila bado siridhiki
maana [?] nitaurubuni moyo, unapendwa ila una pimwa
mi na meno ila najiona kibogoyo, kweli penzi donda moyo
[pre-chorus]
(oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh), mimi bado nina imani, (oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh), ipo siku utanipa thamani (oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh), oh, oh
mimi bado nina imani, (oh, oh, eh-oh, oh-oh, eh-oh), oh, oh
[post-chorus]
juwa mi siachani nawe (nawe), na sishindani (nawe), maana upo moyoni (ndani, eh), acha nisote mie
ila mi siachani nawe (nawe), na sishindani (nawe), maana upo moyoni (ndani, eh), acha nisote mie
juwa mi siachani nawe (nawe), na sishindani (nawe), maana upo moyoni (moyoni baby, eh), acha nisote mie
ila mi siachani nawe (nawe), na sishindani (nawe), maana upo moyoni (ndani, eh), acha nisote mie, ‘acha nisote mie, hey, yeah, hey
wewe, mi sishindani na wewe, wewe, wewe
mi sibishani na wewe, ooh woah
letras aleatórias
- letra de space ranger - not a wasted rockstar
- letra de the straight and narrow - diamonds to dust
- letra de goodnight (yer dead) - common kid flower
- letra de dấu chân - hà huy hiếu
- letra de collide - nate qi
- letra de kitty cat - id ky
- letra de xapralá - djonga
- letra de space - olivia peden
- letra de enemy (feat. andrew patterson) - eternal void
- letra de calor - jim hernández