letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de jichunge - barakah the prince

Loading...

[intro instrumentals]
oh, eh oh…
oh, leo
(leo)

[verse 1]
nitokapo si kutamu
dharau na masengenyo
ndio vilitawala
sikuwa na hamu (hamu)
vyote milipokea
na kusema, ye wala’
hakujuwa
[?] wa k-mtusi mamba hajauvuka mto
akajuwa
upole na upendo w-ngu umeshakosa soko

[hook 1]
daily
sikutaka kuamini (kuamini)
yeye
ni wakunitesa mimi (oh, oh)
daily
sikutaka kuamini, (-ni)
yeye
ni wakunitesa mimi
[pre-chorus]
nenda zako
nenda zako
nishatulia, h-llo
sasa yupo
sasa yupo
anaye ulea moyo
nenda zako
nenda zako
nishatulia, h-llo
sasa yupo
sasa yupo
anaye ulea moyo

[chorus]
naomba ujichunge (we jichunge)
usibadilike
ukawa kama yule (kama yule)
baby, naomba ujichunge (ujichunge)
usibadilike
ukawa kama yule

[verse 2]
sasa umejuwa kwanini
siwezi ondoka kwako
[?] nimekula ya nini
tena nakula kiapo
we ndio wa mwisho kupendwa na moyo w-ngu
sihitaji tena kupepesa macho yangu
aibu, hata mbali
mpenzi naomba uchunge
vishawishi vya mbali visiondoke nawe
[hook 2]
daily, uwe furaha ya mimi (ya mimi)
nawe
zaidi ya raha ya mimi (ya mimi)
daily, uwe furaha ya mimi
nawe
zaidi ya raha ya mimi

[refrain]
leo
leo…
oh, leo,(oh, leo)
(leo)
ooh, hey

[chorus]
naomba ujichunge (we jichunge)
usibadilike
ukawa kama yule (kama yule)
baby, naomba ujichunge (ujichunge)
usibadilike
ukawa kama yule

[instrumental outro]

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...