
letra de nisamehe - barakah the prince feat. alikiba
bado nalilia upendo oooh
na moyo w-ngu na hisi niliumbwa kukupenda
ila cjui ni nn kilichonitokea
na hayakuwa malengo kuumiza roho ya mwezangu…
mi naogopa sana yote ni majaribu
bado ni yangu ridhiki moyo unasema,
naipata taabu…
usik-mbuke mabaya k-mbuka na mema,
mwanamke akipenda wee,
ujue kama nishakwenda, anaweza kujiuwa wee, ukicheza na hisia zake.
mola ninusuru wee nilichotenda si busara haikuwa kikwakee, naomba nijaribu na ya mwisho nafasi…
na nimerudi…
naomba nisamehe nifanye nn nisamehe nifanye nn kwako wee nieleze mimerudi mama…
baby unajua unajua wewe nakupenda mpaka mi sijielewi wewe i want you back am sorry baby mi sina alichopata nilikotoka baby ukiniona mashaka tele, ugomvi kutwa nzima hata na mahaba nzima siwezi nimetoroka nikakosa na maraha tele, ya kwako nimek-mbuka kudeka na kubembelezwa ninapo kasirika ole ooh ole ooh ooh mwenzako nifanye nini nisame nifanye nini kwako wee nifanye nini nielezee
letras aleatórias
- letra de how to grieve (voice memo) - simon robert french
- letra de military sacrifice - neurosis inc.
- letra de donya - ali hosseinzadeh
- letra de i'll be home for christmas - courtney marie andrews
- letra de touch the hem - emily ballhouse
- letra de practice - kryptiq
- letra de photoshop - #hdboyz
- letra de black christmas - johnny goth
- letra de mishehu almoni - מישהו אלמוני - danny robas - דני רובס
- letra de hot boy - brian lorens