letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tai chi - balaa mc

tai chi ft. baddest 47 – balaa mc singeli

wote huku huku huku ukuta huo

hapo hapo mgeukie shika ukuta

nyumbu nyumbu nyumbulika hapo

zungusha kiuno dada shika ukuta

taratibu tibu utaniangusha

geuza basi cheza shika ukuta

dada hiyo style gani inaitwaje tai chi

mbona umeganda ukutani ndo nini hvyo tai chi

jamani hiyo style gani inaitwaje tai chi

kwani mwalimu wako nani mana sio kwa style hii dada

haya sasa miuno feni zima feni punguza speed
kiuno gani chereani unamakusudi

unakata mbele na nyuma mixer unarudi

hapohapo shika ukuta watingishie bodi bodi

nakushikiria leo sikuachi utajuta

nakupinda pinda ebu geuka hapo shikiria ukuta

ntakupepelea jasho likikutoka

ntakulambalamba hiyo kazi yangu niache utakauka

dada mzigo huo mzigo huo mzigo huo

we umentwika sio type yangu mzigo huo

dada mzigo huo mzigo huo mzigo huo

mbona mzito sana una nini ndani mzigo huo

limefungashika fungu fungu kama mafungu ya nyanya

huyu dada anabonge la zigo bonge bonge tukunyema
nalipakia mkongo kongo tuanze kubingilishana

kwa hili zigo sitoki ndani asubuhi usiku na mchana

huku huku huku ukuta huo

hapo hapo mgeukie shika ukuta

nyumbuuulika hapo dada

zungusha kiuno dada shika ukuta

taratibu tibu utaniangusha

geuka basi cheza shika ukuta

dada hiyo style gani inaitwajе tai chi

mbona umeganda ukutani ndo nini hvo tai chi

jamani hiyo style gani inaitwaje tai chi

kwani mwalimu wako nani mana sio kwa stylе hii

aya shika ukuta nioneshe tai chi
wala husiwaze nyuma kalio kalishuka my g

oya we my g anaitwa nani huyu mchumba nikamfollow ig

amefurugwa anakandisha kiuno kama frij

mbaya hiyo (mbaya)

yakutikisa makalio(mbaya)

yakutikisa moja moja inanimalizaga kasalio

muoneni amina anataka ghetto kalizima data

kaleta style yakisasaa singeli kibao kata

muoneni amina anataka ghetto kalizima data

kaleta style yakisasa singeli kibao kata

amina ndo nini hivyo ndo nini hvyo tai chi

ndo nini hvyo ndo nini hvyo tai chi

mama jamni hatari tupu huyu dada anafanya nini hatari tupu

mama jamni balaa tupu huyu dada anakiuno gani balaa tupu

style zake anazocheza utatamani k-mbambia

kwanza hana mpinzani ukuta akisimamia

mguu mmoja juu mwengine chini kachechemea

alafu alivyomshenzi hapo hapo anakutingishia chura

we mtu wa wapi pwani bara sio kwa kiuno iko

mtoto unachezea bomba kama umepitia dawasco

kungwi wako fundi mama wallah nachukua jiko

umenishika kunako mpka nimewika kokorikoo

aya sasa kiuno dada kiuno kama kina mfupa

kiuno dada kama nati nakatika

kiuno dada ukikatika unazungushaa

kiuno dada kama hutaki unakatika kati

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...