letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sweet darling - bahati

Loading...

ah, speaking from my heart eh
baby can i tell you my mind eeh?
mmmh you know you own my heart eh
baby captivated my mind eh
aah, we ndiye jua langu
mchana w-ngu nasubiria
we kivuli changu
popote nawe natembea
we baraka yangu
ndo siku zote niombea
shika mkono w-ngu
safari ndefu inangojea
nipende nikupende
tupendane my love
nibebe nikubebe
tubebane
sweet darling aah
darling, sent from heaven
sweet darling
mimi ndo chada we pete yangu mama
darling, sent from heaven
ni wеwe muucha wanje humurikila
ona tumekutana hadi tukafaana
tukapеndana hadi tukafanana
mimi kukupenda ndio yangu taswira
sweetie sweetie basi tuwe na subira
malezi yako bora, pia yananifaidi
yananifanya kujihisi mwenye bahati
nakupenda saaana unajua darling
mimi na wewe kam pete na kidole
sweet darling, darling
sweet darling, darling

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...