letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mtaachana tu - bahati

Loading...

wanacommenti, insta twitter nawacheki
wanadai mtaachana tu
wanacommenti, chibu na zari walidate
ata na nyinyi pia mtaachana tu
omuwano, kuni na munji
hegu simunange
dada ukoze bingi
sura ya mama urembo kwa face
nilikutafutanga aah kama shilingi
ombi la kw-ngu niahidi mi nawe milele
sije tengana yashinde maneno ya wale
wanaosema eeh
mtaachana tu, achana tu
mtaachana tu, achana tu
mtaachana tu, achana tu
mtaachana tu, achana tu
shukurani watoto umenipa warembo
ka we mama yao
na bado una joto la mimba
na we mama lao
naona mitusi ya insta na twitter
ni kawaida yao
ametukinga mungu jamani
na maneno yao
hisia zangu nakupa nibebebe
na moyo w-ngu pepete
siri zangu nitunzie
my one and only
hawajui tuliumbiwa pamoja
mi nawe mtu mmoja
niite adamu wewe hawa eeh
mtaachana tu, achana tu
mtaachana tu, achana tu
mtaachana tu, achana tu
mtaachana tu, achana tu
mara wanasema yaliyopita
ulikuwa na yule
wanatamani nikuache usogee wakule
na watangoja sana aah sana
hadi kifo hatutaachana tu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...