letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de wazazi - babbi

Loading...

chorus…

sifa kwa mama, sifa kwa baba usifiwe mungu kwakutuumbia wa zazi x 4
sifa lelelee..! na vigeregere usifiwe mungu kwa kutuumbia wazazi
sifa kwa mama, sifa kwa baba usifiwe mungu kwakutuumbia wa zazi
sifa lelelee..! sifa sifa usifiwe mungu kwa kutuumbia wazazi
sifa kwa mama, sifa kwa baba usifiwe mungu kwakutuumbia wa zazi
wawe walemavu
asante kwa kutuumbia wazazi
wawe wafupi
asante kwa kutuumbia wazazi
wakose elemu
asante kwa kutuumbia wazazi
tuwaheshimu
asante kwa kutuumbia wazazi

verse 1

mzazi ni nyotaa mzazi ni taa
neno la mzazi linaongoza milele x4
wawe walemavu
asante kwa kutuumbia wazazi
wawe wafupi
asante kwa kutuumbia wazazi
wakose elemu
asante kwa kutuumbia wazazi
tuwaheshimu
asante kwa kutuumbia wazazi
wa mama oyeeeeh..!
wa baba oyeeeeh…!
vigele gele
tu..! tu…! tu…!
chuba..! chuba…! chuba…!
eeeh
chorus

sifa kwa mama, sifa kwa baba usifiwe mungu kwakutuumbia wa zazi x 4
sifa lelelee..! na vigeregere usifiwe mungu kwa kutuumbia wazazi
sifa kwa mama, sifa kwa baba usifiwe mungu kwakutuumbia wa zazi
sifa lelelee..! sifa sifa usifiwe mungu kwa kutuumbia wazazi
sifa kwa mama, sifa kwa baba usifiwe mungu kwakutuumbia wa zazi
wawe walemavu
asante kwa kutuumbia wazazi
wawe wafupi
asante kwa kutuumbia wazazi
wakose elemu
asante kwa kutuumbia wazazi
tuwaheshimu
asante kwa kutuumbia wazazi

verse 2

eeh bashiekechye
ale wenu mwana babbi iole oachi
tuheshimu wazazi, tuheshimu wazazi
tukiheshimu wazazi tutaishi milele x2
tuheshimu wazazi zazi zazi tukiheshimu wazazi tutaishi milele
tuheshimu wazazi sote tukiheshimu wazazi tutaishi milele
wawe walemavu
asante kwa kutuumbia wazazi
wawe wafupi
asante kwa kutuumbia wazazi
wakose elemu
asante kwa kutuumbia wazazi
tuwaheshimu
asante kwa kutuumbia wazazi
chorus

sifa kwa mama, sifa kwa baba usifiwe mungu kwakutuumbia wa zazi x 4
sifa lelelee..! na vigeregere usifiwe mungu kwa kutuumbia wazazi
sifa kwa mama, sifa kwa baba usifiwe mungu kwakutuumbia wa zazi
sifa lelelee..! sifa sifa usifiwe mungu kwa kutuumbia wazazi
sifa kwa mama, sifa kwa baba usifiwe mungu kwakutuumbia wa zazi

wawe walemavu
neno lao laongoza milele
wawe wafupi
neno lao laongoza milele
wakose elemu
neno lao laongoza milele
tuwaheshimu
neno lao laongoza milele

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...