letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kalenda - babbi

Loading...

chorus

chorus
umetupa
kalenda yamaisha
ukatupa
mwanzo wa maisha
na mwisho
mwisho wa maisha
siku ya manunkuniko x2

———instrument—–

verse
kazi ya mungu haina makosa
anatupa na anachukuwa
nimipango yake
yeye ndo mwenye anaejuwa
maisha yetu ‘ mwanzo na mwisho wetu

j-po yanatutoka majozi
myoyo ndani ikiumia
tujipe moyo maana sote ndo safari
naiposiku tutakutana tena oh ye ye

chorus
umetupa
kalenda yamaisha
ukatupa
mwanzo wa maisha
na mwisho
mwisho wa maisha
siku ya manunkuniko x2
verse 2

ona mama anavyolia,baba anavyolia
ndugu wanavyolia, rafiki wanavyolia yay a
ungetupa na fasi j-po tuagane kidogo
j-po salamu wengine tungekutumia
ila umetuficha sirikubwa sirikubwa baba
najua ya jana sijui ya kesho ‘o ‘
nachoambiwa nitubu dhambi nikae tayari
tayari, tayari
outro

yeah..!
kifo hakijui ndugu
tajiri, urefu, maskini, rangi ao sura
uwe mkubwa ao mtoto, sote ni njia moja
kwahiyo kaa umejisafisha, tuongoze babba

amen..!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...