letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de shusha - baba levo

Loading...

[intro: both, ]
ni saa la maangamizo
hili chama la matatizo
(s2kizzy, baby)

[chorus: diamond platnumz]
nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
wapo top 10 (shusha, shusha)
wapo on trending (shusha)
wapo top 10 (shusha, shusha)
wapo on trending (shusha)
nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
oh, nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
[verse 1: diamond platnumz]
wanataka shindana na simba (shusha, shusha)
washindane na dangote (shusha, shusha)
wakati bado makinda (shusha, shusha)
mie maji wao tope (shusha)
eh, waulize wamesikia (wapi)
panya kula paka (wapi)
nasema wamesikia (wapi)
kibogoyo akang’ata (wapi)
waambie chocho
hili chocho watu hawapitagi
eh, waambie chocho
sema fyoko tulianzishe vagi

[chorus: diamond platnumz]
nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
wapo top 10 (shusha, shusha)
wapo on trending (shusha)
wapo top 10 (shusha, shusha)
wapo on trending (shusha)
nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
oh, nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
[verse 2: baba levo]
tumewapa nafasi kidogo wameanza kule zarau
(shusha)
wameshika visenti kidogo wanakandia mpaka wadau
(shusha)
wamejisahau (shusha)
w-n-leta dharau (shusha)
minapiga collabo na simba
wewe kapige na ngau (shusha)
n-z-di kushusha mangoma mpaka waseme
(baba ni noma)
nabado nitawapa homa mpaka waseme
(tumesha koma)
maneno yanavyo wachoma mpaka waseme
(rudi kigoma)
nawamesha meza ndoano mpaka wateme
(ah…shusha)

[chorus: diamond platnumz]
nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
wapo top 10 (shusha, shusha)
wapo on trеnding (shusha)
wapo top 10 (shusha, shusha)
wapo on trending (shusha)
nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
oh, nawashusha (shusha, shusha)
nawashusha (shusha)
[middle 8: baba levo]
wana polomoka (aiiy)
mmoja, mmoja chali chini (shusha, shusha)
wanadondoka
mmoja, mmoja chali chini
wana polomoka (shusha)
mmoja, mmoja chali chini
wanadondoka (shusha, shusha)
mmoja, mmoja chali chini

[outro: baba levo & diamond platnumz]
chapa, chapa (chapa)
sasa chapa (chapa)
tia bakora (chapa)
awana adabu (chapa)
chapa, chapa (chapa)
wanangu chapa (chapa)
tembeza mboko (chapa)
awana adabu (chapa)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...