letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nikuite - b boy blackfire

Loading...

nikuite lyrics

verse 1
nikiwa na wewe najihisi nina kila kitu,,,
sioni kasoro kwako napenda kila siku,,,
ulivyo mzuri siwez kuishi bila wivu,,,
nipe kila kitu wanafki watuonyeshe kila beef,,,
—————
aah najinsi umefungashia,,,
nimeshtukia matozi wanavyokudandia,,,
nimetulia kwako sitaki viruka njia,,,
nakuk-mbuka kila nkitaji mizuka dear,,,
—————
nak-miss mamie kila unapokua mbali,,,
wewe ndo utamu w-ngu sitaki kuijua asali,,,
mabitozi wakishua nawajua usiwajali,,,
hawawezi they want to ruin your beautyfull body,,,
—————
kiwanja kipo acha kusita njoo tucheze,,,
siogopi limbwata mtoto wakiafrika kanikoleze,,,
unyagoni mautundu kajiongeze,,,
nionyeshe switch kila nikifika nibonyeze,,,

corus 1

verse 2
walisema sina kitu nitakupa nini,,,
eti sijatulia mwisho nitakupa ukimwi,,,
pumzi shusha chini,,,
nipe uaminifu na mapenzi ya dhati uone jinsi nnavyokuthani,,,
—————
sina ndoto ya mwingine i wanna be with you,,,
i don’t wanna play fast i wanna crip on you,,,
be for you let me put things on you,,,
yani kila unapokwenda mimi nipo tu,,,
—————
nipo juu ya vile unavyotaka kua,,,
unaweza ukachagua kile unachotaka chkua,,,
niuze mashamba ya urithi tule bata,,,
mana umenikamata sijui tuseme ni limbwata au dua,,,
—————
kiwanja kipo acha kusita njoo tucheze,,,
siogopi limbwata mtoto wakiafrika kanikoleze,,,
unyagoni mautundu kajiongeze,,,
nionyeshe switch kila nikifika nibonyeze,,,

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...