letra de no stress - avril
pacho baiby, oh yeah, yeah, yeah.
cedo on the beat (avril)
uh 1, uh 1, uh 1, 2, 3, go!
tulijuana for long,
na nililia kila siku nikijiambia kwamba nampenda,
my self esteem was buried to the ground,
lakini tonight enough is enough (no more)
kuchoshwa na maswali ninayo,
kutarajia mapenzi yako (no more)
kuchoshwa na maswali ninayo ooh
sing, i’m going out (yeah)
me, ain’t got no stress, (no stress)
in my life,
and that’s why
na-rusha mikono juu uu
na-katika tu uu
sina stress, sina hoja akilini
me, ain’t got no (no stress)
stress in my life,
and that’s why
na-rusha mikono juu uu
na-katika tu uu
sina stress, sina hoja akilini
two naambiwa
coz me si mvulana
i ain’t supposed to sing like this,
so, one shot, two shot (oh)
am feeling tipsy (hahaha)
so sing with me (no more)
kuchoshwa na maswali ninayo,
kutarajia mapenzi yako (no more),
kuchoshwa na maswali ninayo ooh,
sing, i’m going out (yeah)
me, ain’t got no stress, (no stress)
in my life,
and that’s why
na-rusha mikono juu uu
na-katika tu uu
sina stress, sina hoja akilini
me, ain’t got no (no stress)
stress in my life,
and that’s why
na-rusha mikono juu uu
na-katika tu uu
sina stress, sina hoja akilini
{ay}
siendekezi stress leo me n-z-weka mbali,
tabasamu kila time, basi densi nami,
shida zipo (shida zipo), na wala haziishi,
wacha nijiachie ukitaka cheer na me,
maisha inabana, tushapambana
bado mipango inakwama (yeah),
nyuma sitaki tazama
sasa nasonga ah mbele tu sana (yeah),
lakini muda huu (yeah),
wa kula bata tu (yeah),
weka mikono yako juu,
kisha imba nami,
{avril}
me, ain’t got no, (no stress)
in my life,
and that’s why
na-rusha mikono juu uu
na-katika tu uu
sina stress, sina hoja akilini
me, ain’t got no stress, (no stress)
in my life,
and that’s why
na-rusha mikono juu uu
na-katika tu uu
sina stress, sina hoja akilini
me, ain’t got no, (no stress)
in my life,
and that’s why
na-rusha mikono juu uu
na-katika tu uu
… no stress!
letras aleatórias
- letra de old cycle - nanimurz
- letra de rheinlegendchen - gustav mahler
- letra de gesegnetes land - kaisa
- letra de break in - dres the pres
- letra de passé l'âge d'être sage - cerna
- letra de til the speakers blow - jason michael carroll
- letra de shait in your opplægg - lil ørtæv
- letra de rushing - nada surf
- letra de postcard #52 - jens lekman
- letra de what they gone do - mook