letra de spark ya light - asum garvey
ni weh unalianga mi nikicheka, hmm
you under the weather
niko spark ya light, thunder, hmm
ni red nateka
ni weh unalianga mi nikicheka, hmm
you under the weather
niko spark ya light, thunder, hmm
ni red nateka
naweza kutafuta tafuta sana lakini
ai mi sai ni baba
unadhani napandisha pandisha ladder
lakini nabuy ma stuff za hanger
mi nao ni never ka hao kupanda
hujui mi nao ni brothers
naweza k-mada bila kungangana juu mali ni yetu lakini weh hama
yao ni yetu, huna haya’ sema ni zetu lakini ni hekaya
kuna eka yenye iko na papaya ndio maana uso inasell vibaya
rap ni mbaya, kula kabaya
ndio uweze kujisell vibaya
na mi naona una mbaya mabaya lakini jibambe stuff si mbaya
kuna wabaya pale tom mboya na pia wabaya wa side za ngara
na vile nang’ara mi udunga vibaya kubuy mastuff za flex ya parklands
salive glands zinawasha vile namezea mate your pajas
prankasha alinisho nikam kudish panir si nyama
ni weh unalianga mi nikicheka, hmm
you under the weather
niko spark ya light, thunder, hmm
ni red nateka
ni weh unalianga mi nikicheka, hmm
you under the weather
niko spark ya light, thunder, hmm
ni red nateka
teka teka lightning thunder
caught in a bottle ni mimi
pennys ulead tu ngiri
cheza na mimi utawekwa kingi
swahili mingi ni mimi nabihi
nawa’elezea vikingi
maanake upuzi ni mingi
kwa tv usiwe msingi
naona vitimbi
mna act up tu sana tuliz hivi
mbona ma pressure
na dez alisema sitaki
nyi mnabaki
hapo mtaani
rada ni gani
ukidai kujenga jina usibaki
mataani
kuna mabani
hadi kwa banki
wanadai kuswafish
peleka mbali
afanya lightly kungfu tai chi
bang
ka comics ni mimi ndio hapa naleta relief
hakunanga grief
ka jina kwa mawe ni bigi kushinda kulive
ni weh unalianga mi nikicheka, hmm
you under the weather
niko spark ya light, thunder, hmm
ni red nateka
ni weh unalianga mi nikicheka, hmm
you under the weather
niko spark ya light, thunder, hmm
ni red nateka
ni weh unalianga mi nikicheka, hmm
you under the weather
niko spark ya light, thunder, hmm
ni red nateka
letras aleatórias
- letra de shotgun scatter - dj paul & lord infamous
- letra de lo-fi soul - haley reinhart
- letra de safety prt2 - 1knaz
- letra de on the run - birdz
- letra de безвылазно (bezvilazno) - guf & rigos
- letra de crash! - mc wave
- letra de io ti ammazzerei - lowlow
- letra de invincible - 360
- letra de chicken - 83hades
- letra de overflow - ten fé