
letra de hautegeki - aslay
mmh sawa
mi sio adhi yako
ila moyo ndo umekufa kwako
ni mbaya izo kauli zako
eti mimi mtungi haruki jogoo
unanichuna chuna tu vipesa vya mkaa
nikishakupaga vipesa tu unanikataa
unanichuna chuna tu vipesa vya mkaa
nikishakupaga vipesa mmh, unanikataa
nipende ata kwa kudanganya mamaa
ukiniacha sitakuja kupenda tena
si kwa manati, si kwa mkuki
kwa bastola yeyee
hautegeki (wo wo wo wowo)
hautegeki
ata kwa sila gani mama
hautegeki
oh napata taabu wewe
hautegeki
ulinilaza gesti
nikapiga simu sikupati
baby mbona mkorofi
na kwanini unafake promise
hautegeki
na jinadi nikiwa na wenzangu
kwamba we ndo mke w-ngu
ila anajua mungu
shida nazopata kwako wewe wewe
aki ya mungu nadata kwako wewe wewe
nishakupa unachotaka
mara unanitukana
ukiwa na wenzako unataka sifa yaani
sababu kidogo unataka tugombane
izo tabia za samahani honey tutakosana
unanichuna chuna tu vi pesa vya mkaa
nikashupaga pesa tu unanikataa
unanichuna chuna tu vi pesa vya mkaa
nikishakupaga vipesa mmh unanikataa
nipende ata kwa kudanganya mama
ukiniacha sitakuja kupenda tena
si kwa manati, si kwa mkuki
kwa bastola yeye
hautegeki (wo wo wo wowo)
hautegeki
ata kwa silaha gani mama
hautegeki
oh napata taabu wewe
hautegeki
mara kunitukana
ukiwa na wenzako wataka sifa yaani
sababu kidogo unataka tugombane
izo tabia za samahani honey tutakosana
letras aleatórias
- letra de motives - kalebpierre
- letra de volvere de mi viaje - regrabada - los temerarios
- letra de problemin var - defkhan
- letra de big chain - d goat
- letra de аутро. сердце плачет (outro. heart crying) - collex
- letra de 007 - swaizy
- letra de i feel - raven bishop
- letra de one piece freestyle - khantrast
- letra de no happy endings - father deer hands
- letra de yaklaş yaklaş - gülben ergen