letra de usinimwage - arrow bwoy
ai ai ai ai, yeah yeah
dem call me arrowbwoy
(kimambo on the beat)
yaani kama kangaroo, unanitega
mmmh aah, unanitega
mi ni wako komando, jegeja
chii, aah jegeja
eti umeniweka ndani
umezima na simu na sipatikani my way
kwani una jini gani?
unanipa steam kwako kifuani
mami ooh mami oooh
i want you to know mami ooh
ah kwamba ukinimwaga utaniokota yeah
usinimwage, usinimwa’
usinimwage, usinimwa’
usinimwage, usinimwa’
usinimwage, usinimwa’
(hatari kwa usalama)
baby baby aki i swear you de one for me
baby baby, when you hold me tight you dey k!ll me
usiskize ya watu kamwe, katu uniache mie
kutwa mara tatu mbuzi ndafu nile mie
kama mtoto nidekeze aah
kuni moto uchocheze aah
bakora mboko nitembeze aah
usinimwage mwage mwage
kama mtoto nidekeze aaeh
kuni moto uchocheze aeeh
bakora mboko itembeee aeeh
usinimwage mwage mwage nandy
usinimwage, usinimwa’
usinimwage, usinimwa’
usinimwage, usinimwa’
usinimwage, usinimwa’
(hatari kwa usalama)
kama mtoto nidekeze aah
kuni moto uchocheze aah
bakora mboko nitembeze aah
usinimwage mwage mwage
kama mtoto nidekeze aaeh
kuni moto uchocheze aeeh
bakora mboko itembeee aeeh
usinimwage mwage mwage nandy
usinimwage, usinimwa’
usinimwage, usinimwa’
usinimwage, usinimwa’
usinimwage, usinimwa’
(hatari kwa usalama)
letras aleatórias
- letra de l414 - x-tense
- letra de it doesn't matter (demo) - jack cullen
- letra de älä usko kaikkee - kalle kinos
- letra de just beginning (live) - muni long
- letra de mirage - j’eon (rapper)
- letra de lynet mcbrennevin 2018 - studavigå
- letra de way up - doowop (gbe)
- letra de eighty-six - bukshot
- letra de kruela - sexjovanofficial
- letra de louis vuitton - xeox