letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de unisikie bwana - anyasi ekhuya

Loading...

ewe bwana niongoze
katika safari yangu
usiniache kwa yule mwovu

nifundishe kutembea katika njia yako

(nipitapo nyikani
usiniache kamwe
nisife moyo
kwenye bonde la kivuli cha kifo
uwe mlinzi w-ngu)

ewe bwana uniongoze
niende kwa mwendo wa imani
nikijua wewe ndiwe yote kw-ngu
na maisha yangu ni yako

(ninakutegemea wewe)
ninakutumaini wewe
(ninakusifu wewe)
ee bwana (wewe ndiwe mungu w-ngu)

(nipitapo nyikani
usiniache kamwe
nisife moyo
kwenye bonde la kivuli cha kifo
uwe mlinzi w-ngu)

ewe bwana niongoze
nipate kufika kwa wokovu wako
nijue wewe ndiwe njia
na maisha yangu ni yako

ninakutegemea wewe
(ninakutumaini wewe)
ninakusifu wewe
(wewe bwana wewe ndiwe mungu w-ngu)

ewe bwana niongoze
(nipate kufika kwa wokovu wako
nijue wewe ndiwe njia
na maisha yangu ni yako)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...