letra de usitutishe - ankotrapper
intro
yeah..
hii ngoma kwa wanang wooote wa mtaa
anko tom yoh!
anko trapper
bridge
tumezaliwa kwenye ubishi yeh yeah yeahhh!!!!( yeah yeahh)
maisha yetu ya kibishi yeah yeah yeaaahh!!!(skrrrt skrrrrrtttt)
bado tunaish yeah yeah yeah (yeah)
kwa hiyo haututishii yeeh yeah yeah!!
tumezaliwa kwenye ubishi yeh yeah yeahhh!!!!
maisha yetu ya kibishi yeah yeah yeaaahh!!
bado tunaish yeah yeah yeah (yeah)
kwa hiyo haututishii yeeh yeah yea
eeeehhhhhh
chorus
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
verse 1
kuna wana wao , wana yumba yumba (yumbaaa)
eti kisa kwao kwao ,kuna kubwa nyumba ( baww baw baw)
wazazi wao wao , wana vumba vumba (rhaaaaaa)
hela zao, pengine ni za ndumba ndumba
yeah yeah
ndinga ya baba, mi daladala
usawa unakaba ,we falafala
mtoto wa mama , unalala lala
mi nimekwama, npo majalala
sichagui kazi napiga kazi,sio tozi tozi
we wali n-z- iko wazi,leta pozi pozi
kwa hizi bazi naweka wazi,zenu gozi gozi
sinyamazi nyie waduanzi ,nawapa dozi
siogopi mi wauswaziiii
yeah yeah
chorus
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
verse 2
kula mchana usiku ,mimi nanjaaa (mimi mnanjaaaa)
kula mabata makuku,mimi dagaa( paaw pawww)
mf-koni nimeshinda matupu,sina chapaaa (chiiii chii chiiii)
maisha mkuku mkuku, mi nakomaaa( mii nakomaaaa)
yeah
utanambia nini ,(yeah yeah yeahhh)
mi mtoto wa mtaani (yeah yeah yeahhh)
unaringa na dad’s money,(yeah yeah yeahhh)
me na tecno we una iphone, (pruuuuuuuuu)
ila usinitisheeee
chorus
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
kwa hiyo usitutisheee (maalim seif voice)
letras aleatórias
- letra de deeper - thrilldriver
- letra de colour me in - hayley williams
- letra de is it possible? - frankie midnight
- letra de heartbreak - daniel javan
- letra de mustard tiger - joose (band)
- letra de me perdoa - mc ryan sp
- letra de better back down! - autumn!
- letra de distracted - wingman (electronic/rap artist)
- letra de figuradamente - yung wolfer
- letra de i gotchu - tellemtee