![letras.top](https://letras.top/files/logo.png)
letra de katika - angry panda clan
tapo tapo tapo
chuu chuu, chuu chuu
(angry panda under mickey)
si wa kukatika muanze kukatika
wa kuagiza muanze kuitisha
na ka umeketi amka simamisha
masaa ni ya dancey kati kati kati katika
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
kama vigilante tuta navigante
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
kama vigilante tuta navigante
katika tu ukiturn mummy zungusha
katika uki tuen we angusha
katika ukiturn songa nyuma
niguze hiyo thutha najua hautanuna
achilia doba ju enyewe k-methoka
kaa rada nani hapo utachezwa poker
nichekeshe nani na hapa mi ndio joker
utachekwa vile mtu wako nitakutoka
aiii kadem dem kazuri kamejaa kwa dera
katika hadi nione umeanza kuhema
una turn zunguka una turn zunguka
zinashika k-mbe ni kizunguzungu
katika tu uki turn ebu katika
katika tu uki turn ebu katika
katika tu uki turn ebu katika
kama vigilante tuta navigante
katika tu uki turn ebu katika
katika tu uki turn ebu katika
katika tu uki turn ebu katika
kama vigilante tuta navigante
nakashika shingo utadgani nachinja kuku
nazama kwa shimo ni kama mi ni panya buku
nakatibu dawa ya masai yaani rungu
kanabaki kanapiga nderemo na nduru
niko na madawa nimetoa loliondo
chokwa na migatho nimesunda kwa kiondo
naroga madem wanifuate kama kondoo
nawaita beib na k-mbe tu ni wa kando
nasafisha mangondo nisimamishe ng’ondo
vile kunago ju anaweza jipata ndonyo
ndo nikufikishe bungu nitakuficha kwa gundu
nyuma anatundu ndio maana ana utundu
vile anatingisha ananiwacha tu nachizi
nakacontroll kanadai jo kutizi
mi si poker why manze anajiuliza why
na izungu anadai basi nywele naeza paka dye
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
kama vigilante tuta navigante
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
katika tu uki turn ebu katika (chuchuu)
kama vigilante tuta navigante
kama ndimbli ndmbli wacha ziende sana
k-mbuka hapa mi ndio msanii wa sana
niko ready ninaweza shika paka power
katika katika mummy weka power
kuna venye nakudandia bana mi hukuw-nga donda
napiga mpaka nawacha alama kama kidonda
sare vako za pesa bana mwanaume ni kujibonga
maddam natetemeka roho vile unasonga aiii
ebu kati kati katika ebu katika
tingika tingika kiuno sio matumbo
zitoke zikwende mami usijikokote
shiginding mbogi bend ukitaka tunabang
napenda ukibounce napenda ukizitingisha
napenda ukidance napenda ukitetemesha
we hunipanga mahanjam baby ka unadai some
fikisha — kwa gwado nitakupa matam tam
si wa kukatika muanze kukatika
wa kuagiza muanze kuitisha
na ka umeketi amka simamisha
masaa ni ya dancey kati kati kati katika
katika tu uki turn ebu katika
katika tu uki turn ebu katika
katika tu uki turn ebu katika
kama vigilante tuta navigante
katika tu uki turn ebu katika
katika tu uki turn ebu katika
katika tu uki turn ebu katika
kama vigilante tuta navigante
letras aleatórias
- letra de by now - emil carlsson
- letra de forgive me - clara (dk)
- letra de can't pull me down - wesley stromberg and alek fin
- letra de "крэст(crest)" - "лев мунгалов(lev mungalov)"
- letra de il était une fois la vie (générique) - sandra kim
- letra de outer science - will stetson
- letra de estrelas - rap box
- letra de body like kim - chronicle genesis
- letra de shrummie - arn8ld
- letra de don't say no (surrender) - the marc tanner band