letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de utukumbuke - angel benard

Loading...

bwana yesu nataka niseme nawe
usife moya baba, usife moyo mama
, nakuona mama unatazama watoto waumia moyoni,
nakuona baba umeshinda umelewa haueshimiwi nyumbani,
nakuona kijana umetafuta umekosa rudia tena ya leo,
mwokozi ona yale wanayo pitia uwak-mbukee .(refrain)
uwak-mbuke ×3babaa
utuk-mbuke ×3babaa.

mkono wako si mfupi usiokoe
na sikio lako sio nzito lisisikie)×2
wewe mwazo tena mwisho
kwako hakunalo ngumu
tuj-pokua dhaifu bwana wewe ndio nguvu zetu uwak-mbuke
(refrain …)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...