letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sena lwanyi - andy saharan

Loading...

sena lwanyi chini lesoto mpaka morocco
sena lwanyi wana wadogo mpaka wakubwa
sena lwanyiii bara afrika mpaka amerika

sena lwanyiii sena lwanyii

wewe kama milango ya baisikeli hupatikani
minyororo yako sawa lakini wewe huendeshw-ngwi
kwa kupendezaa, umeridhi macho yangu nakutamani
sitoweza, kunengua peke yangu ukiwa ndani
iii ukiwa ndani unaniumiza sanaa
na ukitoka nje unanituliza mama
ukiwa ndani unaniumiza saaana
ukitoka nje menatulia mamaa

sena lwanyi chini lesoto mpaka morocco
sena lwanyi wana wadogo mpaka wakubwa
sena lwanyiii bara afrika mpaka amerika
sena lwanyiii sena lwanyii
sena lwanyi chini lesoto mpaka morocco
sena lwanyi wana wadogo mpaka wakubwa
sena lwanyiii bara afrika mpaka amerika
sena lwanyiii sena lwanyii

kama makali mama mimi unanichoma roho
na ukiitaka kanuni zote zako maaama
na tukipatwa wewe tutoroke sote mama
so mwana wefwe urira amba khushine
toka sena toka sena toka ahuuuh
toka sena toka sena toka ahuuuh
toka sena toka sena toka ahuuuh
toka sena toka sena toka ahuuuh

sena lwanyi chini lesoto mpaka morocco
sena lwanyi wana wadogo mpaka wakubwa
sena lwanyiii bara afrika mpaka amerika
sena lwanyiii sena lwanyii
sena lwanyi chini lesoto mpaka morocco
sena lwanyi wana wadogo mpaka wakubwa
sena lwanyiii bara afrika mpaka amerika
sena lwanyiii sena lwanyii

kama makali mama mimi unanichoma roho
na ukiiitaka kanuni zote zako maama

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...