letra de rafiki badilika - andy mwag
Loading...
 
 
		verse 1:
chuki ni mbaya
huleta fitina
penye riziki
hapakosi wivu
kama makini
wew
don’t trust n0body
don’t believe them
wa yuda ni wengi
ukitoka tu wana talk
masikio skia
mdumo w-ngu
kaa kimya
macho yangu
ona mbali eeeeh eeeee
chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika (2fois)
verse 2:
waulimwengu
wana maneno mengi
ku ishi nao
kweli taabu
be careful ooh ndugu
rafiki mnafiki si rafiki
ukikosa tu anakukwepa
ukipata njo utamuona
be careful ooh ndugu
badiliiiiiiiiiiika
chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika
letras aleatórias
- letra de poppin - @sadboyshin
 - letra de bersabarlah - ayu arsitha
 - letra de serie b - outside the box
 - letra de tavor - cris
 - letra de somebody new - sophia james
 - letra de rest easy - the flying eyes
 - letra de if i change - mindme
 - letra de the one i love - widowspeak
 - letra de she wolves of the savage season - dread sovereign
 - letra de trackstar - dees