letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de usifurahi juu yangu - amoni & malumbu kigoma

Loading...

(usifurahi juu yangu, eeh adui yangu
niangukapo mimi, nitasimama tena
k-mbuka niwapo gizani, bwana ni nuru yangu

hawezi kuniacha bwana, mimi niangamie)×2

si vyema kunisema vibaya, nipatapo tatizo
shetani wampa nafasi
ndani ya moyo wako
k-mbuka kwa maombi yako nitasimama tena
na utapata baraka kutoka kwake mungu
si vyema kunisemasema vibaya, nipatapo tatizo mama
shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako
k-mbuka kwa maombi yako nitasimama tena
na utapata baraka ndani ya moyo wako

maana heri mtu yule ambaye kinywa chake
huwabariki wenzake n kuwaombea
maana maneno mabaya huchafua moyo
hukuweka mbali na mungu, ni vyema uwe safi

ukiona niko kwenye shida niombee
ndoa yangu imevunjika wewe niombee
nikif-kuzwa kazini ndugu niombee
magonjwa yananiandama niombee
biashara haina faida niombee
nikikawia kupata mtoto niombee
nimekuwa mtoto yatima niombee
hata nij-po kuwa mjane niombee

(ujue kwa maombi yako, mimi nitasimama tena
ujue kwa maombi yako nitabarikiwa)×4

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...