letra de misuli ya imani - ambwene mwasongwe
nina mk-mbuka mama mmoja
aliyekuwa na watoto saba
alikuwa akimcha mungu
akimwomba mchana na usiku
ulipita mda sijaonana nae
(nikaamua niende nimtembelee)
nikamkuta mama mjane amechoka
(macho yamevimba kwa kulia)
akanitazama akaniambia ajali imeuwa watoto w-ngu
tazama kaburi kama matuta
mungu akunisahidia kitu
unajuwa mwanangu
(wewe bado nikijana mdogo)
usijefikiri k-muacha mungu
hata kama amekuhumiza
akapiga magoti akitetemeka
akamuomba mungu mbele yangu akisema
(kwanini ulihamua kuchukuwa w-ngu tu)
(mtaa mzima ukuona wengine)
(kwanini ajali moja walikuwa w-ngu tu)
(kwanini siku moja walizikwa w-ngu tu)
(kwanini ukuhamuwa hapa mtahani)
(hangalau kila nyumba angekufa mmoja mmoja)
(hata nijiulize maswali mengi bado utabaki wewe ni mungu tu)
(najuwa uliniamini ili naliweza)
(hivyo basi ninasema jina lako libarikiwe ameeen)
kama kawahida wanadamu
wakanyanyuwa vinywa wakasema:
kila mmoja alihongea lake
ili mradi wamvunje moyo
wapo waliojifanya kuwa wanauchungu
k-mbe moyoni wanamroga
wengine wakadiriki kusema adharani
alijivuna sasa yuko wapi
mama anasema akiwa msibani
alihisi mwili unawaka moto
alihona kama mungu ayupo
dunia yote kaachwa peke yake
walio mfariji aliwahona waongo
awajuwi uchungu wa msiba
uzuni ilipo zidi akalia sana
asikubali kufarijiwa
sasa akak-mbuka mtetezi wake
kwamba mungu wake yupo hai
akisha mpitisha kwenye tanuru
mwisho atang’ara kama zahabu
eh bwana
ulipo mchukuwa mume w-ngu
watoto walinifariji sasa umehamua kuwachukua wote
hukunisaidia kitu
umenibebesha mzigo mzito sana
siuwezi peke yangu
ila msalaba wako sitaweza mimi naomba nisaidie
kama unazani na kwako zipo sasa jifunze kwa wenzako
maana wewe kuguswa tu natatizo unanungunika mwaka mzima
waweza kuzani kwamba unahumwa k-mbe ujahona magonjwa
ukisha wahona wagonjwa wenyewe unaweza kupona bila dawa
mungu anao watu anahoamini
watu wenye misuli ya imani
wao wanapo pita kwenye magumu
wanamtukuza katika hayo
hawa ndio watu uwatumia k-msimangia shetani
maana kujaribiwa kwa imani zao uleta utukufu
kwa mungu
mama anasema mungu ni mwema kwasababu
amenitetea katika kupita kwenye magumu
nimehona mkono wa neema
ushukuriwe mungu wa watakatifu
anayetupa kushinda hata tukipita kwenye
magumu gani hatatuacha peke yetu
ametuhaidi atakakuwa nasi hadi ukamilifu wa dahari ehhhh
song by: ambwene mwasongwe
instagram: @officialmale_khan
letras aleatórias
- letra de when the time's right - doni (rapper)
- letra de interludio - cd4e
- letra de hva faen tenker du på - mogger
- letra de powerless (say what you want) [live @ the orange lounge] - nelly furtado
- letra de 刀槍不入 (invincible) - 盧巧音 (candy lo)
- letra de she hated chemistry class - jayvyn lewis
- letra de si amarte - ministerio sion
- letra de maroonnights - kobanoshi
- letra de sometime - schwizzle
- letra de 70 bars - chc[кхк]