letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de ni poa - amani g

Loading...

it’s amani g
yoyo yo…. yoyoyo…iyo yo yo yo…
yoyo yo…. yoyoyo… iyo yo yo yo…

[chorus]
ni poa kuwa na rafiki kama yesu
ukianguka kwa shimo anakutoa
ni poa kuwa na rafiki kama yesu
ukiwa mwenye dhambi anakuokoa

[verse 1]
na je rafiki yako akisikia (akisikia)
kwamba ndugu yako ameaga dunia
siku ya nne anatokea
na ndugu yako rafiki anamfufua

na je rafiki yako ukimwambia (ukimwambia)
hatujalipa kodi wanatukujia (aaah)
anakutuma kafungue mdomo wa samaki
hapo ndani kuna mapeni lipa kodi

[chorus]
ni poa kuwa na rafiki kama yesu
ukianguka kwa shimo anakutoa
ni poa kuwa na rafiki kama yesu
ukiwa mwenye dhambi anakuokoa
yoyo yo…. yoyoyo…iyo yo yo yo…
yoyo yo…. yoyoyo… iyo yo yo yo…

imagine rafiki ambaye haogopi
imagine rafiki ambaye hatoroki
imagine rafiki ambaye hakuwachi
hata maji rafiki yanamtii
mawimbi yakija rafiki anakemea kemea
juu ya maji rafiki anatembea tembea
hakuna jambo rafiki linamlemea lemea
yesu ni rafiki anakungojea

[chorus]
ni poa kuwa na rafiki kama yesu
ukianguka kwa shimo anakutoa
ni poa kuwa na rafiki kama yesu
ukiwa mwenye dhambi anakuokoa

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...