letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de asante - amani g

Loading...

kila kukikucha, macho yafunguka
msije sahau kurudisha shukrani
hewa napumua nauona mw-ngaza wa jua
nisije sahau wanyonge kufikiri

nimepata baraka
nimepata fanaka
nisije sahau aliyenibariki

nimepata faraja
kwenye mwamba niko salama
nisije sahau aliyenibariki

nasema asante(ninasema)
nasema asante(ninajua)
sio kwa nguvu wala uwezo wala kwa maarifa
ila ni kwa mapenzi yake mola

oooh oooh oooh ooh oooh
oooh oooh oooh ooh oooh

beatiful day
flowers in bloom, always in harmony(harmony)
the pasture pour way, the melody change
to sing a song a song for me
and i stopped
to thank you for my friends and family
without them beside me
where will i be

no i know
sometimes giving up is easier
i have done, i still fight
wanisaidia

and i know that i will
make it through no matter
and in you, fighting for me
my enemies are scattered

nasema asante(ninasema)
nasema asante(ninajua)
sio kwa nguvu wala uwezo wala kwa maarifa
ila ni kwa mapenzi yake mola

nasema asante(asante)
nasema asante(asante)
sio kwa nguvu wala uwezo wala kwa maarifa
ila ni kwa mapenzi yake mola

oooh oooh oooh ooh oooh
oooh oooh oooh ooh oooh

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...