letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de naksh naksh mrembo - alikiba

Loading...

[intro]
oooh aaaah
oooh aaaah
nooooh aaaah
oooh aaaah

[verse 1 : alikiba]
mimi ninachotaka ulimwengu mzima waje nimezimika eeh
nakama kufanikiwa taratibu sikia mambo yatajipa eeh
mi sina papara nasubira mola atanipa eeh
na kama mengine ameshanipa ndio mana nipo hapa eeh

[bridge : alikiba]
so ndio mchezo gani huo
wakunikonyeza konyeza mchumba hivyo
wajua mimi wanirusha roho
na wee baby noo!
so ndio mchezo gani huo
wakunikonyeza konyeza mchumba hivyo
wajua mimi wanirusha roho
na wee baby noo!

[verse 2 : alikiba]
hasira hasara dear sikia wahenga walishasema eeh
nami nitakasirika dear kesho nitakunyima eeh
[bridge : alikiba]
so ndio mchezo gani huo
wakunikonyeza konyeza mchumba hivyo
wajua mimi wanirusha roho
na wee baby noo!

[chorus : alikiba]
nakshi nakshi mrembo uliwatosa matozi na vigogo
unakuja kw-ngu ukawapa visogo
ukawaona hawana mpango
nakusema hupendi kuniona nalia
hupendi kuniona nateseka
na moyo w-ngu tena kuutesa
nami na relax kwa sasa

[hook : alikiba]
oooh aaaah
oooh aaaah
nooooh aaaah

[verse 4 : alikiba]
valentine day heshima eeh
mi nawe kuliko wote dunia nzima eeh
na kama unanipenda eeh
hakika mimi utanilinda eeh
valentine day heshima
mi nawe kuliko wote dunia nzima
na kama ninakupenda
hakika wewe nitakulinda
[bridge : alikiba]
basi kw-ngu nakshi nakshi mrembo
nishike bega tucheze wimboo
leo ma-action na mavitendo
mida ikifika tufanye mambo
basi kw-ngu nakshi nakshi mrembo
nishike bega tucheze wimboo
leo ma-action na mavitendo
mida ikifika tufanye mambo

[verse 5]
usije kusema umenipenda sababu mi imba eeh
tumia moyo mawazo yatanizonga eeh

[bridge : alikiba]
basi kw-ngu nakshi nakshi mrembo
nishike bega tucheze wimboo
leo ma-action na mavitendo
mida ikifika tufanye mambo
basi kw-ngu nakshi nakshi mrembo
nishike bega tucheze wimboo
leo ma-action na mavitendo
mida ikifika tufanye mambo

[chorus : alikiba]
nakshi nakshi mrembo uliwatosa matozi na vigogo
unakuja kw-ngu ukawapa visogo
ukawaona hawana mpango
nakusema hupendi kuniona nalia
hupendi kuniona nateseka
na moyo w-ngu tena kuutesa
nami na relax kwa sasa
[hook]
oooh aaaah
oooooh
nooooh aaaah
aaaaah

[verse 6 : alikiba & hakeem 5]
njoo ma hapa kwa kifua
unipe mapenzi now unipe mi love
njoo hapa ninakutaka
machizi masharobaro zamani walikusaka
ndo mahaba njoo kwa ally k
please my lover kwa r kelly mobel
njoo hapa sije kufata
machizi masharobaro longtime waliokusaka
ndo mana mi, ndo mana mi
nakusifia ila siamini wanafki wakiniambia
wee malaya na unasifa mbaya dah
waachane nasi isitoshe mi nawakataa
wakipiga hadith i don’t care
kupenda mali tuwe wote
mrembo w-ngu usisuse
mi ni wako usiondoke
nakuchum uniruhusu eeh
wee niambie kitu chochote
una sababu tukeshe
i love girl, i love girl
wakipiga hadith i don’t care
mi ni wako usiondoke
mrembo w-ngu usisuse
wee niambie kitu chochote
nakuchum uniruhusu eeh
aaaah aaaah
una sababu tukeshe
i love girl, i love girl

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...