letra de mnyama - alikiba
eeh
eeh
kimambo on the beat
[chorus]
sio leo toka zamani
mnyama hana mpinzani
sio leo toka zamani
mnyama hana mpinzani
[hook]
hatushikiki ki ki ki. (oooooooh we)
hatukamatiki ki ki ki. (oooooooh we)
watoto wa dar watoto wa msimbazi
ita mashabiki ki ki ki (oooooooh we)
wameanza mtiti ti ti ti (oooooooh we)
na msimu huu kombe msimbazi
[verse]
ah we unamjua simba (mnyama)
sio uyo wa picha mnyama. (mnyama)
huyo ni wa insta mnyama (mnyama)
uyo utopolo mnyama (mnyama)
mnyama (mnyama), mnyama (mnyama)
mnyama (mnyama), mnyama (mnyama)
wa vikombe vingi mnyama (mnyama)
anaupiga mwingi mnyama (mnyama)
unyama ni mwingi unyama (mnyama)
nasema…
unamjua simba (mnyama)
wa kimataifa mnyama (mnyama)
mnyama nguvu moja mnyama (mnyama)
anatupeperusha mnyama (mnyama)
mnyama (mnyama), mnyama (mnyama)
wa vikombe vingi mnyama (mnyama)
wa kimataifa mnyama (mnyama)
anaupinga mwingi mnyama (mnyama)
[hook]
hatushikiki ki ki ki. (oooooooh we)
hatukamatiki ki ki ki. (oooooooh we)
watoto wa dar, watoto wa msimbazi
ita mashabiki ki ki ki (oooooooh we)
wameanza mtiti ti ti ti. (oooooooh we)
na msimu huu, kombe msimbazi
[chorus]
sio leo, toka zamani
mnyama, hana mpinzani
sio leo, toka zamani
mnyama, hana mpinzani
oh…
[outro]
this is simba
sisi ndio mabingwa
sisi ndio mabingwa
afrika nzima
this is simba
sisi ndio mabingwa
sisi ndio mabingwa
afrika nzima
eeeeeeeh…
eeeeeeeh…
letras aleatórias
- letra de the traffick jam - suave the performer
- letra de land of the lost/it happens - ike offline
- letra de way outta' hell - jam ritz
- letra de potent - dioptre
- letra de badmon - leather corduroys
- letra de mein weg - das w
- letra de never af with me - tiga maine
- letra de bigger ego, shorter tolerance - charles hamilton
- letra de maytide - knight of swords
- letra de debaixo dos lençóis (cover by ay) - emana cheezy