letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de wosia wa magufuli - ali kiba

Loading...

[intro]
mmmh mmh wouwoo ooh oh

[verse 1]
mi nataka niwaambie ndugu zangu, ndugu zangu
ipo siku moja mtanik-mbuka aah
mi najua na mi najua mtanik-mbuka
kwa mazuri si mabaya eeh
mi najua na mi najua mtanik-mbuka
kwa mazuri yeah
kwa sababu nimesacrifice maisha yangu
nimejitoa sadaka
nimesacrifice maisha yangu
nimejitoa nimejitoa kwa nchi yangu
watu w-ngu, nchi yangu

[verse 2]
kwa mara hio tusimame kwa pamoja
tusibaguane kwa vyama
kwa mara hio tusimame
tusibaguane kwa vyama
tusibaguane kwa ajili ya dini zetu
tusibaguane hata kwa makabila yetu
tusibaguane kwa ajili ya dini zetu
tusibaguane hata kwa makabila yetu
yetu tusibaguane oh ndugu zangu
[bridge]
aiyayaiyaiya, nchi yangu
aiyayaiyaiya, familia yangu
aiyayaiyaiya, tanzania
aiyayaiyaiya

[verse 3]
nimesacrifice maisha yangu
nimesacrifice maisha yangu
kwa ajili ya watanzania masikini
ndugu zangu msibaguane
ndugu zangu tusibaguane
kwa makabila

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...