
letra de my everything - ali kiba
[verse 1]
ilikuwa usiku wa jana asubuhi ilipoamka nikajikuta na furaha isiyo kifani
kidogo nilistuka simu ilipoita
nilipokea nikasikia -n-lia
akashindwa hata kuongea nikaisi msiba ndio umefika
akauliza umelala ooh baby nalia na mola
nimeshateswa na penzi nakosa hata raha
nahisi vibaya naona nakupenda sana
[chorus]
uuh baby you’re my everything my everything
kila nachofanya kwa ajili yako my everything
hatakama me sina you’re my everything my everything
tunapendana kwa sana you’re my everything my everything (your my everything my everything)
she’s my everything you’re my everything my everything
my everything my everything
[verse 2]
mwili anavyojiona kama yupo paradise
anasikia raha mwili wake nikiushika
haitaji stress tena anataka tu furaha
na me mwendo ule ule sitaki mw-ngusha
maumivu hataki tena ooh baby hutojuta kupenda
hata mimi mapenzi ooh baby yashanitesa sana
we lia na mola walimwengu wakiweka husuda
mchana nalala usiku nafanya ibada
[chorus]
uuh baby you’re my everything my everything
kila nachofanya kwa ajili yako my everything
hatakama me sina you’re my everything my everything
tunapendana kwa sana you’re my everything my everything (you’re my everything my everything)
my everything you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
la mujer de mivida we kila kitu
you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
you’re my everything my everythin
letras aleatórias
- letra de gettin' over you (sidney samson remix) - david guetta
- letra de crash dummy - shoreline mafia
- letra de de 90 pra cá - kawe
- letra de gott vs tinder - albert luxus
- letra de magical sea donkey - baby giraffes
- letra de little candle - theo marquez
- letra de behind the smiles - elyne
- letra de do it again - lit’joshh
- letra de touma kamijou - asaphdaking
- letra de rhum&drogue - k2o