
letra de mahaba - ali kiba
sikuhizi hakuna mahaba yeh! mahaba
mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha
ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha
nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa
uchungu wakulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k-mbuk-mbu hile kwamba ulinikosha noo!
uchungu wakulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k-mbuk-mbu hile kwamba ulinitosha noo!
mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefuf-ka yeh!
mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa nimefuf-ka yeeh
sikiliza kwanza we mdada we mdada
mi sio mgeni yalishanikaba mapenzi yalinikausha
natamani kua single ila nnaupwil unanikaba kooh
mabinti wenye vifundo hao ndo mi wananitoa roho
na siri tu ya jambo lile ni kama chakula lazima nile
mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh
na siri yake tu jambo lile ni kama chakula lazima nile
mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh!
mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefuf-ka yeh!
mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa nimefuf-ka yeeh
letras aleatórias
- letra de こんな風にひどく蒸し暑い日 (konna fuu ni hidoku mushiatsui hi) - mr.children
- letra de dis moi comment tu danses - boulevard des airs
- letra de sorry not sorry - roadtrip
- letra de si pienso en ti - calero ldn, blake & boxinbox
- letra de the climb - jessi alexander
- letra de restinpeace - 3n1gm4
- letra de hang in there - rilena
- letra de smells like teen spirit - maude audet
- letra de hoping for - kalika j
- letra de 思い出はシャンプーの中に (omoide wa shanpū no naka ni) - she is summer