letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de infidele - ali kiba

Loading...

(yogo on the beats)
wouwoo…mmmh aah aah

ilibidi tu nijiongeze
niliisha
ee bora nijipongeze
naona yamekwisha

akili uliniweza maskini
uliniweza mie ukanijua
nilipungua sana bwana
ila tu upo unanicheka

ukatawala moyo
ukachukua bila aibu ukanitesa

k-mbe ni liar unaweza niacha mi niuliwe
na mabwana zako wewe
k-mbe ni liar unaweza niacha mi niuliwe
na mabwana zako

bora nikuache we uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawenge
bora uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawengе ah ah
donc j’ai finalement
repris mеs esprits
parce que j’étai perdu
parce que j’étai perdu
et je dois me féliciter
pour réussir
tu me connaissais
si bien donc tu m’avais

dans le creux de la main
dans le creux de la main
j’étais en mal point alors
j’ai maigri mais tu t’en fiches

k-mbe ni liar unaweza niacha mi niuliwe
na mabwana zako wewe
k-mbe ni liar unaweza niacha mi niuliwe
na mabwana zako

bora nikuache we uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawenge
bora uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawenge ah ah

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...