letra de chekecha cheketua - ali kiba
[verse 1]
jamaniii mi nataka saule
kama mapenzi gorofa yamejaa kariakoo
mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
wanao nitaka ni wengi ila mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a
[pre chorus]
nini unataka mi nina miujiza nini unataka
ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
nikugeuze princess sema nini unataka
unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
nini unataka mi nina miujiza nini unataka
nikugeuze princess sema nini unataka
siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
[chorus]
aya chekecha
chekecha aya chekecha cheketua
cheke chekecha cheketua
cheke chekesha cheketua
cheke chekesha cheketua cheke
[verse 2]
masia uluso kitaa abu daddy
penzi alinipa mama nami leo nakupatia
tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna
mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia
nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a
[pre chorus]
nini unataka mi nina miujiza nini unataka
ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
nikugeuze princess sema nini unataka
unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
nini unataka mi nina miujiza nini unataka
nikugeuze princess sema nini unataka
siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
[chorus]
aya chekecha
chekecha aya chekesha cheketua
cheke chekecha cheketua
cheke chekesha cheketua
cheke chekesha cheketua cheke
yeah uuh cheke chekecha aah heyiiii
letras aleatórias
- letra de strokety stroke - the o'jays
- letra de kanji in my wallet - haych
- letra de muse - $vn
- letra de time will heal me - tone sekelius
- letra de океанами (oceans) - хани (haniromx)
- letra de otra más - isa de una
- letra de dicitencello vuje - peppino di capri
- letra de nasloni glavu na moje rame - sinan sakić
- letra de holdin' my own (dennett remix) - said the sky & jack newsome
- letra de wanna - sh’lon