letra de bailando - ali kiba
[intro]
yo!
african princess
[verse 1: alikiba]
naugua
naugua
kukupenda naugua
nakupa yako maua
kunipenda, umejua
[verse 2: nandy]
naugua
naugua
kukupenda naugua
nakupa yako maua
kunipenda, umejua
[verse 3: alikiba]
roho yangu [suru?]
kwa mwingine sitamani
mi umenijaa moyoni
nakupenda, hayawani
[verse 4: nandy]
mi pembeni sitazami
umenizidi mzani
hoi, oh, bin taabani
na sijutii asilani
[pre-chorus: alikiba & nandy]
wewe umeniathiri
tabia umenibadili
mwenyewe si unaona?
ah, ah, ah
tumelandana mwili
utambi na [kandiri]
mwenyewe si unaona?, ah
naona
[chorus: nandy & alikiba]
bailando (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
bailando, oh (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
mi amor, oh, oh, mi amor
bai…
bailando
[verse 5: alikiba]
haste, haste na kipira, baby
moyo unadunda kwa gredi
ai, mwenzako na dead
ufundi ka tuko gereji
[verse 6: nandy]
ah, si utaniua, baby?
moyo unadunda kwa gredi
haya unayonipa mapenzi
umeniweza
[bridge: alikiba & nandy]
mwenzako mimi
(nani wewe)
moyo w-ngu
(moyo wako)
nia yangu
(nia yako)
mpaka mwisho
(mpaka kifo)
[pre-chorus: alikiba & nandy]
wewe umeniathiri
tabia umenibadili
mwenyewe si unaona?
ah, ah, ah
tumelandana mwili
utambi na [kandiri]
mwenyewe si unaona?, ah
naona
[chorus: nandy & alikiba]
bailando (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
bailando, oh (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
mi amor, oh, oh, mi amor
bai…
bailando
letras aleatórias
- letra de 923 intro - votchezanick?
- letra de box of pills - apocalypse hoboken
- letra de my crew - paul bekk
- letra de geb - signor benedick the moor
- letra de love shit - tmoni
- letra de la découverte, le soudain - tintamare
- letra de bring me the night - sam tsui
- letra de the rhythm takes you back - ranagri
- letra de allez vaï marseille - charles aznavour
- letra de grip - dj climex