letra de amour - ali kiba
(yeah, yogo on the beats)
kusema nitaleta we si uongo
siwezi
arobaini umeshanikamata basi tena
aah aaah
mwendo wa taratibu kama jongo, oh baby
unanikosha sina zaidi la kusema aah
na kama kunipenda uzidishe, zidi zidishe
na tulivyo wa bad, tuwatishe tishe tiii
kama mila za kwenu nifuatishe, fuati fuatishe
uchumba unoge nikuhalalishe, lishe
amour, amour amour amour
amour, tarira tarara tarira
amour, amour amour amour
amour, talala lala aah
kazuri kazuri katoto
damu bado changa wamoto
sauti nyororo akinicall
hallo, halooo
hata mngeekwa kulwa na doto
ningekuchagua we my love
haya ni mawazo ama ndoto
kuwa nawe, kuwa nawe
na kama kunipenda uzidishe, zidi zidishe
na tulivyo wa bad, tuwatishe tishe tiii
kama mila za kwenu nifuatishe, fuati fuatishe
uchumba unoge nikuhalalishe, lishe
amour, amour amour amour
amour, tarira tarara tarira
amour, amour amour amour
amour, talala lala aah
letras aleatórias
- letra de moons of jupiter (retro-mix) - freezepop
- letra de high road - call it even
- letra de amar é que é preciso - expensive soul
- letra de cash grip - elijah blond
- letra de tayo pa rin - kyla (philippines)
- letra de circle k - the new siberians
- letra de xnxx - eater la plaza
- letra de problem$ - yvng houdini
- letra de good morning - 크림 kream (korean artist)
- letra de the cat's still scratching - diesel park west