letra de aje - ali kiba
yeah
oh yeah
wooah
ucheshi na sauti
amenifanya nammisi tu
mwambie asiogope
ali ni kipenzi cha watu
tafanya party nyumbani
yoyote kwa ajili yake
tena asije pekee yake
asiogope aje na wenzake
tafanya party nyumbani
yoyote kwa ajili yake
tena asije pekee yake
asiogope aje na rafiki zake
basi mwambie aje (aje)
oh aje (aje)
aje na rafiki zake (aje)
hasije pekee yake (aje)
oh aje (aje)
aje oh aje (aje)
aje jamani aje (aje)
aje nammiss aje (aje)
uzuri wake timilifu, nishamwona na watu maarufu tu
kina wema sepetu, nikaomba namba bichwa kanishusha shuu
ilinikosesha raha, lulu naye kamdanganya
kwamba mi ni wa kwake, aniogope tena hasinichekee
ilinikosesha raha, lulu naye kamdanganya
kwamba mi ni wa kwake, aniogope tena hasinichekee
basi mwambie aje (aje)
oh aje (aje)
aje na rafiki zake (aje)
hasije pekeake (aje)
oh aje (aje)
aje oh aje (aje)
aje jamani aje (aje)
aje nammiss aje (aje)
oh aje, aje na rafiki zake huyo
ohhhh
aje leo, leo oh aye
mwambie, ama ni french girl
niiongee nae hee
viens mon amour
je suis quelque du bien
je vais veille sur moi
et toi tu vas veille sur moi
c’est toi mal joie
je ne peux etre content sans toi
je vais veille sur toi
je suis quelque du bien
je vais veille sur moi
et toi tu vas veille sur moi
c’est toi mal joie
je ne peux etre content sans toi
letras aleatórias
- letra de kopskud revolusie - droomsindroom
- letra de regra número 5 - l!zard
- letra de all love - ferius
- letra de autodafe - kamil wywrocki
- letra de gta - quando rondo
- letra de no mercy - crm (au)
- letra de banana rightrich jeans (mode of the shirt remix current) - seattli ferde
- letra de moments - angella mula
- letra de wæsted - rapreaper
- letra de energetyk - dj decks