letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de miss mboch - alaholla

Loading...

[chorus]
napenda njaro za mamboch (call me any time you want)
mi hushinda na mamboch (call me any time you want)
si wee hukatia mamboch (call me any time you want)
basi shuku w-ngu mboch (call me any time you want)

[verse: 1]
oh gosh mi napenda mboch
don’t forget to wear socks
naamua tu ku-play soft
miss njoki huoga na rexsona
akae safi na pia amesoma
wacha duster mboch piga simu
wee ndiye manyanga gusa vitu
mama unajua una-look so fine
usisahau nywele ametoa blow dry
ye hung’ara mzuri mdosi akitoka
k-mbe nguo amenunua gikomba
aendapo haezi kosa mikoba
ile amebeba mirror na lipstick
miss mboch hawakushindi
[chorus]
napenda njaro za mamboch (call me any time you want)
mi hushinda na mamboch (call me any timе you want)
si wee hukatia mamboch (call me any time you want)
basi shuku w-ngu mboch (call me any timе you want)
napenda njaro za mamboch (call me any time you want)
mi hushinda na mamboch (call me any time you want)
si wee hukatia mamboch (call me any time you want)
basi shuku w-ngu mboch (call me any time you want)

[verse: 2]
mpate ye mchana daily ako kazi
mwenye nyumba husband humtamani
ukipata wako tu kichwani
waithera baby boo tukalale
githeri waru tumange
mwishoni ma-do tufanye
utashindwa kwenye nyumba bibi nani
juu wote usiku hao hupewa loving
yaani nothing ‘takuwa ni something
yaani nothing ‘takuwa ni something
miss mboch, the cow has refused
sa wee better be accused
unywe maji umalize kiu
usilete zile zako news
eti unataka kuona vioja
na vitimbi ndio eti noma
eti unataka kuona vioja
na vitimbi ndio eti noma
[chorus]
napenda njaro za mamboch (call me any time you want)
mi hushinda na mamboch (call me any time you want)
si wee hukatia mamboch (call me any time you want)
basi shuku w-ngu mboch (call me any time you want)
napenda njaro za mamboch (call me any time you want)
mi hushinda na mamboch (call me any time you want)
si wee hukatia mamboch (call me any time you want)
basi shuku w-ngu mboch (call me any time you want)

[verse: 3]
mi hukudai nikiwa juu ya veve
si mbaya ni kupunguza nyege
saa zingine unaskia uko ndethe
ndio nje mko rada na mabeste
mboch akitumwa huyo wewe nyuma
zile fence kubwa zote uliruka
kwa vichaka kule ndani ulidunga
baada ya mimba kuambiwa ulizusha
mi sijui na hawa mamboch
si siri wako sawa kwa ___
wameshinda wale chick wako bootless
bila nyuma kifua ___
bila meno my dear, toothless
hiyo nayo ni hatia, ruthless
chukua, inua ___kufua, inua ndio tukule
[chorus]
napenda njaro za mamboch (call me any time you want)
mi hushinda na mamboch (call me any time you want)
si wee hukatia mamboch (call me any time you want)
basi shuku w-ngu mboch (call me any time you want)
napenda njaro za mamboch (call me any time you want)
mi hushinda na mamboch (call me any time you want)
si wee hukatia mamboch (call me any time you want)
basi shuku w-ngu mboch (call me any time you want)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...