letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de w.k.g(west kings gang) - ahdi weezy ke

Loading...

[intro_by_de royal]
hahaha
hii track sio diss
nikuwashow turkana west is the best
yea
wkg beyond this

[verse_1_by_de royal]
eh west kings gang ndo label na own
sisi ndo kings so tunawarule
wakijifanya tunawatatiza
tunawakoroga design ya corana
genge ni genje itabidi umetii
vitu ni yente itabidi umefeel
hadi kwa game tuko top ten
hizo zenu ni eleven ten
nawatatiza kama ben ten
we got the game we are the leaders
they were the owners now are the losers
mbogi ni noma itabidi umеkoma
hapa ni hao’ so akuna kuhama
tunamaintain kama corona
de royal the thug boy mgenjе
weezy the king here we go

[chorus by ahdi weezy ke]
amuezi bana
amuezi pima
amuezi sima wkg nare genje ×2

[verse_2 by ahdi weezy ke]
dj usinyonge beat
leo ndo siku nakata snitch
sijui mbona anajichocha mneti
na ukimcheki ni son of a b–ch
usijali ndakupa one of my cars
usinionee gere kwa vile nimepaa
niko hapa kulisha mtfckr
breko,lunch na supper atapata
mom kanibless na damu ya hiphop
that’s why kila beat nakick up
ungenisho nikusakie job
huku home sina sweeper wa ghetto
ama nikufanye mse wa ritho
nichunge bana nikipiga show
uzuri utakua ukipata dooh
temana na muzik kaka(kaka)
mistari ya mine ni kisu(kisu)
day jamo itakukata(kata)
kwa game sinanga utu(utu)
nlianza muzik long(long)
ba’ kanidori nilenge masong
kanifuata kafunja my phone
lakini hizo ni sama za kale
sasa hivi nimewaka nare
(n–ga)

[chorus by ahdi weezy ke]
amuezi bana
amuezi pima
amuezi sima wkg nare genje ×2

[outro_by_ahdi weezy ke]
wkg inaleta tafash
wkg
wkg inateza sana
wkg
wkg inakam vinoma
wkg
haaa…haha
kelele za mtaa hizo
mtanego mchana night mtadoro

y.r.n inna buildin’ beibe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...