letra de milele - agolla
[verse agola]
nimekutamani kwa muda mrefu sasa
ni siku gani utakuwa w-ngu wewe
hujui unachonifanyia baby nooo
utajua siku gani mpenzi uwe w-ngu milele
eee eeeh
[chorus]
milele, milele mchumba
milele, milele mchumba w-ngu wee
[verse agola]
kazini tupo pamoja kila siku napata kukuona
uoga, kutojiamini? sijui ni kwanini
(ninashindwa kukueleza ninavyohisi)
ama niwache kujivako, labda wako akungoja kwako
(lakini mimi nitachizi, siwezi ishi hivi)
tambua maneno baby uwe w-ngu milele (eeeh)
[chorus]
milele, milele mchumba
milele, milele mchumba w-ngu wee
[verse agola]
ni siku gani utaninotice
juu na chini nimejaribu wee
sijui nifanye nini
nivae minisketi
no that ain’t me
oh lord why can’t you just make this happen i’m dyin’
tuwe pamoja milele
milele eee eh
chorus
milele, milele mchumba
milele, milele mchumba w-ngu wee
letras aleatórias
- letra de mori'nin meyhanesi - mabel matiz
- letra de экстраверт (extrovert) - rocket
- letra de viva la revolución - los muertos de cristo
- letra de silky - rakky ripper
- letra de home - tom frager
- letra de train - the nields
- letra de alieno - redsky
- letra de madrese - merzhak
- letra de fiji - j. ice
- letra de drink in my solo cup - ryan montgomery