letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tukumbukane - acitee

Loading...

unik-mbuke sana takuk-mbuka tuk-mbukane iwe k-mbuk-mbu tu unik-mbuke takuk-mbuka tuk-mbukane iwe k-mbuk-mbu tu

ninafuta jozi langu ni lini tutaona tena pumzi langu mwendo wa kasi ninapokuwazanga,, kizunguzungu pressure unanipa mie amani sina mawazo tu kwenye ndoto picha zako nakuwaza tu usinifutilie mbali mi bado nakupenda sana wasije kukulaghai wenye wivu kanitenga mie ila moyo na imani tutaonana tena….

unik-mbuke sana takuk-mbuka tuk-mbukane iwe k-mbuk-mbu tu unik-mbuke takuk-mbuka tuk-mbukaneee iwe k-mbuk-mbu tu

muda unayoyoma mie mwenzako nko hoi lini utarejea angalau nienjoy kama taswira nikuonapo moyo watulia kipenzi changu jeraha la moyo we ndo tiba w-ngu njoo nikudekeze usije kakosa chochote ama tuvuke border manukato vya bei usikose njoo njoo mgeni njoo mwenyeji nipone njoo njoo mgeni njoo mwenyeji nipone

unik-mbuke sana takuk-mbuka tuk-mbukane iwe k-mbuk-mbu tu unik-mbuke takuk-mbuka tuk-mbukaneee iwe k-mbuk-mbu tu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...